Recent content by dicksonm

  1. D

    JamiiForums Tanzania Siku moja baada ya Zitto kupoteza uanachama CHADEMA, ACT Tanzania yafanya mkutano mkubwa Kigoma

    Mkuu mimi pia nilikuwa najiuliza huyu aliyeleta hii mada alifikiria nini? Au ni ushabiki tu wa kichama? Hivi wauza mboga sio watu hao?
  2. D

    JamiiForums Tanzania Siku moja baada ya Zitto kupoteza uanachama CHADEMA, ACT Tanzania yafanya mkutano mkubwa Kigoma

    Mkuu mimi pia nilikuwa najiuliza huyu aliyeleta hii mada alifikiria nini? Au ni ushabiki tu wa kichama? Hivi wauza mboga sio watu hao?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kwa ajali iliyotokea Mapema leo jijini Mbeya, JK kuwa muungwana

    Ni kama sijaelewa hivi jamani. Hizi siku za maombolezo ni za kupumzika au ni kutangaza tu kuwa ni siku za maombolezo?
  4. D

    JamiiForums Tanzania CAG: Magufuli na Mwakyembe wawajibishwe

    Mpaka huu uchaguzi upite, watanzania wengi tutakuwa tumeyumbishwa sana na hawa wanasiasa. Wengine wanatumwa humu kuwachafua wenzao na wengine wanatumwa kuwajenga wenzao. Kazi ipo. Chamsingi ni kutumia akili zetu zaidi na sio yanayosemwa na watu. Ukianza kuwachambua wanasiasa wengi wanaosemwa...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Taarifa Kuhusu Mama Maria Nyerere si za Kweli

    Kweli watanzania tumepoteza kabisa dira ya maisha yetu. Hivi unawezaje kuandika ujinga kama huu ambao haukupatii faida yoyote bali kumchulia mama wa taifa letu. Acheni ujinga jamani, tufanye mambo yenye tija kwa nchi yetu
  6. D

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wanatembea na machangudoa bila kufahamu

    Tatizo hali ngumu ya maisha, tamaa ya maendeleo ya haraka, urahisi wa kutongoza na kutongozwa n.k
Back
Top Bottom