Recent content by DICKSONI KAPUNGU

  1. DICKSONI KAPUNGU

    Mifumo ya Kikodi katika Mpaka wa Tunduma ni tatizo, inasababisha foleni kubwa. Kwanini Tanzania haitumii mfumo sawa na Zambia?

    Mifumo ya Kikodi katika Mpaka wa Tunduma ni tatizo, inasababisha foleni kubwa. Kwanini Tanzania haitumii mfumo sawa na Zambia? Mpaka wa Tunduma ni shida na kero kubwa kwa Wasafiri na Wasafirishaji. Katika eneo hili panatarajiwa kila kitu kifanyike kwa haraka, ili watu waendelee na safari zao...
  2. DICKSONI KAPUNGU

    NMB Songwe: Waandishi waishia Mikononi mwa Polisi. Walienda kumhoji Meneja Malalamiko ya Wananchi

    WAANDISHI WA HABARI MIKONONI WAINGIA MATATANI BAADA YA KUTAKA KUPATA UFAFANUZI WA HABARI YA BANK. Leo tarehe 21 /11/2023 Waandishi wa habari wawili mkoani Songwe Dicksoni Kapungu wa Global online Tv na Jamal Meena wa Jay Online Tv wamejikuta matatani baada ya kutaka kupata ufafanuzi wa...
  3. DICKSONI KAPUNGU

    Ileje: Walimu wanusurika kutwangana ngumi wakidai kujitoa CWT

    Baadhi ya Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari katika Halmashauri ya Wilaya ya Ileje Mkoani Songwe wanaotaka kujitoa katika Chama cha Walimu Tanzania (CWT) wakiwa katika Ukumbi wa Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo wameshinikiza kukubaliwa maombi yao ya kutaka kujitoa CWT...
  4. DICKSONI KAPUNGU

    Nauli za bodaboda kupanga mwendo wa kuendesha Songwe

    Mji wa Tunduma ni Mji wenye pikipiki Nyingi zinazofanya shughuli za usafirishaji Maarilufu kama Bodaboda. Madereva pikipiki wamedai kuwa usafiri wa bodaboda ni wa kukodi hivyo hawana bei Maalumu ya kituo kwa kituo Badala yake wanaelewana na mteja kabla ya kumpeleka. Nauli za bodaboda...
  5. DICKSONI KAPUNGU

    Watoto zaidi ya 300 washindwa kuendelea na masomo na kutelekeza shule

    Watoto zaidi ya 300 wa vitongoji vya Ntwa na Isunda katika kata ya Lwasho Mkoani Songwe wameshindwa kuendelea na Masomo baada ya wazazi kushindwa kumaliza ujenzi wa Shule shikizi ya kijiji cha Ntawa tangu walipoanza ujenzi wa Madarasa mawili tangu 2018 na kushindwa kuyamaliza.
Back
Top Bottom