Wabongo kwa nongwa mzee! Watakususia kila jambo lako lakijamii. Watu wanachuki bhana, unaweza usimchangie kwenye sherehe yake mtu akafuga chuki hata ukipatwa na msiba anaweza asitokee au kuhamasisha wengine wasije hata kuzika
Jumamos usiku nilikua natoka Geita nakwenda Mwanza, nimefika pale kivukoni saa 3 usiku! Ila kulingana na folen niliyoikuta, tumekuja kuvuka saa 9 usiku! Serikali wangeingilia kati hili swala la vivuko pale Busisi
We unajuaje, je kama alikua anachunguzwa muda mrefu leo ndo majibu yamepatikana na maamuzi yakafata? Au ulitaka hadi aje mlango kwako agonge akwambie uchunguzi wa tuhuma za Sabaya umekamilika??? Mkuu unateseka ukiwa Bomang'ombe au wapi???
Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
Kabla yakuandika huu upupu wako ungetoa kwanza hiyo picha ya Tundu lisu alafu ndo ukaanza kumsimfia huyo jambazi wako Sabaya!
Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
Tuchki Kwahiyo mkuu una-enjoy kupiga nae picha tu nakulala kwenye hotel nzuri sio[emoji848]......hahahahaa
Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.