Ushauri: Mpenzi wangu mpya ni Mzungu, nashindwa jinsi ya kumuomba pesa

Tuchki

JF-Expert Member
Feb 1, 2017
1,740
1,435
Habari zenu wakubwa wa JamiiForums

Niende moja Kwa moja kwenye mada

Hivi karibuni mdogo wenu nimepata mpenzi mpya ila kiasili si Mtanzania mwenzetu ni Mzungu ila anamakazi na biashara zake hapa Tanzania.

Huyu mpenzi wangu tuna miezi kadhaa kwenye mahusiano ananipenda na kila nikimuhitaji anakuja Kwa wakati tunaonana na tunatoka out pamoja na mara nyingi anapenda tuonane.

Tatizo lililonifanya mpaka nianzishe uzi ni kua mpenzi wangu hajawahi kunipa pesa hata siku moja sasa nashindwa jinsi ya kumuomba ukizingatia sijawahi kuwa na mpenzi mzungu sijui nikimuomba pesa itakuaje ila tukiwa out analipa bills zote ila hajawahi kunipa hata pesa cash na mimi nina shida zangu binfsi.

Najua humu kuna watu mna uzoefu na jinsi ya kuishi na hawa watu wa mataifa mengine naomba mnisaidie mwangaza ili nisije nikaomba pesa nikaonekana gold digger.

Naomba ushauri Kwa wenye nia ya dhati ya kunisaidia wale wenye Matusi na kejeli ni bora mkapita kimya kimya.

1620639632833.png

 
Si mnasemaga wazungu wana hela na wanahonga kuliko wabongo? Tena angalau una bahati analipaga bills huyo, wazungu mngejua walivyo wabahili na pesa yao. Haoni sababu kwanini akupe hela wakati sio baba yako na mapenzi mnafanya wote mna enjoy wote
 
Ni wapi imeandikwa kuwa mpenzi wako ndio atakuwa anakupa pesa za kutatua matatizo yako?
Kwanini unaingia kwenye mahusiano na expectations za kupewa hela na sio upendo?
Malengo yako na huyo mkoloni ni nini?
Badala ya kuwaza utamchuna vipi,pambana mwenyewe ujitatulie shida zako.Saa ingine mtu akiona bidii yako ni rahisi kuku support bila hata kumuomba kuliko ukitanguliza kumuomba.
 
Tatizo sijajua kitabia wazungu wakoje ingekua mbongo mwenzangu fresh
It has nothing to do na uzungu au uafrika...mbna dada zetu mnashindwa kujitambua au tako huna bidada?
Mwanamke kama ni mrembo haswa yaani hutakiwi kujiuliza mara mbili kuhusu kumuomba mwanaume wako hela.
Wewe kama mzuri mananyake u r marketable hivyo watatokea vidume tuu watatoa hela ili wala utamu wa mbususu.
Wee unataka kuliwa mbususu eti kisa analipa mitoko🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ni wapi imeandikwa kuwa mpenzi wako ndio atakuwa anakula pesa za kutatua matatizo yako?
Kwanini unaingia kwenye mahusiano na expectations za kupewa hela na sio upendo?
Malengo yako na huyo mkoloni ni nini?
Badala ya kuwaza utamchuna vipi,pambana mwenyewe ujitatulie shida zako.Saa ingine mtu akiona bidii yako ni rahisi kuku support bila hata kumuomba kuliko ukitanguliza kumuomba.
Acha kumlisha mwenzio ujinga...wanaume wenyewe sie hatutabiriki. Unampa mbususu na bado ataenda sasambua mbususu nyingine.
Msiwe wajinga mwanaume lazima ampe mwanamke wake hela na mwanamke ambaye ninbeuatiful na sexy anakuwa na confidence ya kudemand hiyo huduma.
 
Back
Top Bottom