Recent content by Dickson Katarama

  1. D

    JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta kupanda kuanzia April 4,kuporomoka kwa shilingi dhidi ya dola kwatajwa kuwa ni moja ya sababu

    Penda nchi yako siyo kwa ushabiki wa kutukana rais wetu acha utoto wewe. Mungu ambariki sana jemedali wetu anaonesha uzalendo kwanza hayo maneno ni yenu msioitakia mema nchi yetu.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha dawa alichozindua Rais Magufuli kipo tangu mwaka 2014, sio kipya

    Muache uongo nani ka kwambia hayo maneno ya kusema kiwanda ni chá 2014 .acha uongoooooo
  3. D

    JamiiForums Tanzania Aliyevujisha siri ya Bombadier kwa Lissu asakwa

    Watanzania hivi mnapenda kiongozi wa namna gani mnalalamiiiikaaaaaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  4. D

    JamiiForums Tanzania Wadada smartphone ndio sitakazokuja kuwaoa

    Kuolewa ni wajibu na ni agizo kutoka kwake mkuu wa yote Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
  5. D

    JamiiForums Tanzania Gazeti la NEWAFRICAN: Heshima ya Tanzania yaanza kurudi

    Bravo magufuli
  6. D

    JamiiForums Tanzania ACACIA: Hatujafikia makubaliano yoyote ya kuilipa Tanzania

    Wasipotulipa wewe ni accacia au ni mtanzania kwahiyo unaiombea nchi yetu mabaya.utake usitake tutalipwa
  7. D

    JamiiForums Tanzania Wanasheria naomba msaada jinsi ya kuishtaki CCM na Serikali yake

    Anaeshitakiwa ni ccm au wabunge waliopitisha hayo
  8. D

    JamiiForums Tanzania Angekuwa yule mnadhani angefanya kama anayoyafanya huyu?

    Raisi anatusaidia sisi ni mtetezi wetu ila wachache amjui maskini. Akifanya vizuri mnamponda akifanya zaidi ya vizuri mnamkejeli je nyinyi mnastahili adhabu gani ?
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kuondolewa Motor Vehicle Licence janga kwa wananchi wa kawaida

    Kwani mbona mtu anaanza kwa kutembea alafu ananunua gari
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kuondolewa Motor Vehicle Licence janga kwa wananchi wa kawaida

    Safi budget
  11. D

    JamiiForums Tanzania Hypothetical scenario; Tundu Antipas Lissu akubali kuiwakilisha Acacia mahakamani vs Magufuli

    Duniani kuna watu wa ajabu kwahiyo mtu akija kwako akakunyanganya mke wako unamuacha kwa kuwa wewe ni msikini. Huo ni ujinga raisi yupo sahii hata kama waanzishe kesi hao Acacia huyo wakili anajali maslahi yake. Wakili anakula kiapo yeye alikula kiapo kwa ajili ya acasia
  12. D

    JamiiForums Tanzania Wananchi wamshauri Magufuli kuongoza vipindi vinne mfululizo

    Naunga mkono raisi watu
  13. D

    JamiiForums Tanzania Ninajamba sana ifikapo asubuhi

    Chunguza utakuwa unalala bila kujifunika tumbo linapigwa baridi na kutengeza Gesi.jaribu kulala umejifunika au lala na nguo uangalie matokeo.
  14. D

    JamiiForums Tanzania Tuliosoma SUA, Tukutane hapa

    Unamkumbuka prof. Martin shemu wa animal science?
  15. D

    JamiiForums Tanzania Vinapatikana kwa wingi mkoa gani hivi?

    Bukoba mkoani kagera
Back
Top Bottom