Jum Records
JF-Expert Member
- Jun 30, 2014
- 547
- 551
wanajamii binafsi nimesoma SUA, faculty of Veterinary Medicine, nimekikumbuka tu chuo bora na Elimu ya pale ilivyokua ngumu....Msuli mnene na practicals ngumu balaa....ila nashukuru Mungu niliweza kumaliza salama...sitawasahau baadhi ya maprof kama Prof baltazar huyu yuko idara ya Biochemistry, Prof Malago idara ya Pathology, Prof Kimaro idara ya Anatomy,na wenginao wengi....kikubwa ninachokumbuka wakati wa karibu na mitihani ya mwisho ya semister kwa faculty yetu ya veterinary medicine hakuna ' study break' kama faculty nyingine.....sisi mwendo wa moto mwanzo mwisho...!!!
Pepa za week end yan Jumamosi na jumapili kama kawaida, Kukamatwa' yan kurudia pepa sio jambo la kushangaza, hata kudisco pia..!
Pepa za week end yan Jumamosi na jumapili kama kawaida, Kukamatwa' yan kurudia pepa sio jambo la kushangaza, hata kudisco pia..!