mi nataka ulianzishe naona kama unafikiria kwa makalio...kwani magufuli anaposema naombeni peoples mnipe kura zenu anataka ccm wampeleke ikulu au hao peoples?msikurupuke kuleta nyuzi kama mmtoka kula wida.
Inawezekana we ndo huelewi anachosema.kama mjinga mwenzio amechangia upuuzi wako eti sumaye alisema hakuna ccm ilichofanya.yeye na ujinga wake kama wewe kadai hamwelewi anachosema.kisa alikuwa pm,kwa kuwafungua tu tatizo sio kuwa pm.tatizo mfumo,hata huyu anayetisha watu majukwaani anajiapiza...
Ni kweli wanapata shida ila wasubiri huyu mhindi wa jambo plastic amalize tenda ya kutengeneza masanduku ya kula ndipo.halmashauri zao watoe oda kama pesa ipo.kwani waziri mkuu amepiga marufuku madawati ya mbao kutumika kwa madai misitu itaisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.