God bell
JF-Expert Member
- May 13, 2011
- 590
- 211
Ni wazi kuwa Rais JK ameonyesha uoga wa hali ya juu sana baada ya dalili zote kuonyesha kuwa Upinzani wataibeba nchi kwa awamu hii ya Tano.Tayari zimebaki siku chache sana kabla ya uchaguzi Oct 25. na hii inaonyesha wazi kuwa rais wetu ameingiza uoga akiamini kuwa akilivunnja baraza la mawaziri mapema;kuna mawaziri watakaokimbia chama na kuhamia upinzani. Tukumbuke Katika kampeni za urais kule Bukoba mgombea wa ccm John Magufuli alisema amestuka kuna watu wanaamkia Ccm na kushinda ccm pamoja na kuvaa sare za ccm lakini mwishowe wanalala Upinzani UKAWA. Na huu ndi ukweli wa Jakaya kutovunja baraza la mawaziri.