Heshima kwenu wakuu.
Samahani wakuu, naomba msaada namna ya kuipata hadithi au mwandishi wa hadithi fulani iliyopata kuchapishwa hapa jukwaani. Hadithi hii nilipata kusoma hapa jukwaani hapo nyuma kitambo lakini nimesahau jina na pia mwandishi wake. Hivyo naomba mwenye kuweza kunipa link yake...