Mbowe Mwenyekiti wa chama na ni Mbunge, kiongozi wa Kambi rasmi bungeni,
Magufuli Mwenyekiti wa chama na ni raisi wa nchi
Lete vizuri Mada yako inaweza kuwa na tija ila sbb ulizotumia bado dhaifu
Jenga vizur hoja
Najiuliza hivi huyu kirikuu huwa hajiulizi ikiwa uongozi una kikomo kwa mujibu wa katiba Ya Jimu huru? (mf, makamba, Dito, nk(
Huwa hajiulizi uongozi wa kuteuliwa huwa hauna muda maalamu wa kudumu madarakani na wakati wwt huweza kufikia Kikomo (mf mama malecela(
Mahakama na Wanasheria imeanza...
Hizi Njaa, na vitamaa vya mia mia ndio vinemdhalilisha na kudhalilisha Wanawake wenzie
Bint wa Dodoma huyu njaa tu , alaf tizama source????
Gwajima moto mnene ule
Lete vyeti
Who is Vita kawawa? Watanzania Kama mazombi, eti Mtoto Wa kigogo this country it's not belong kwa hao vigogo, ni yako wewe mtz, hii inch ilishafikia mahali ikawa jina lako ndio linabeba sifa ya uteuz wa nafasi maeneo mbali mbali
Tumbua watoto wa vigogo wote wasio na sifa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.