Recent content by dhahir ally

  1. D

    JamiiForums Tanzania Usafi jiji la kimataifa la Arusha

    Wanasema mkokoteni mwisho ngaramtoni,ngulelo.. mjini wanataka zile pikipiki za matairi matatu. Walikuja huku mtaani kwetu wakasema hvyo.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Orodha ya vyuo bora na kozi wanazotoa

    Habari wanajamii forum. Nilikuwa naomba mnifahamishe ni vyuo gani vinavyopokea GPA ya pass(2.4)diploma kwenda bachelor. Naombeni msaada wenu
  3. D

    JamiiForums Tanzania Msaada - Gari yangu inakula sana mafuta

    mbona nilisikia gari ambazo hazili sana mafuta moja wapo ni spacio. mbona mnanichanganya? au kuna spacio ambae haikuli sana mafuta na kunayo inayokula sana. naomba mnieleweshe
  4. D

    JamiiForums Tanzania nitawezaje kusoma kozi ya 'aeronautics'(aircraft engineering)?

    Ntita yeye alienda kuomba mwenyewe. Alikuwa anasaligi hapo ndo akaomba akapewa. Ndo maana nakushauri usikate tamaa
  5. D

    JamiiForums Tanzania nitawezaje kusoma kozi ya 'aeronautics'(aircraft engineering)?

    Metal ni kipi ambacho hujakielewa na wewe
  6. D

    JamiiForums Tanzania nitawezaje kusoma kozi ya 'aeronautics'(aircraft engineering)?

    Kitu gani ambacho hujakielewa hapo
  7. D

    JamiiForums Tanzania nitawezaje kusoma kozi ya 'aeronautics'(aircraft engineering)?

    Deno mafungu umeyafunga wewe? Sponsor zipo kuna rafiki yangu alipata sponsor kupitia kanisa la katoliki ndo maana nikasema hvo. Mafungu mafungu umeyafunga wewe
  8. D

    JamiiForums Tanzania Clinical officers

    Nahisi unaweza pata coz marks zako nzuri. Ngoja waje wanaojua
  9. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta chuo

    Gent mimi nimemaliza diploma ya cooperative management and accounting(CMA). Na ningependa kuunga bachelor ya accounts au procurement
  10. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta chuo

    Yeah naelewa hilo ila tcu wao hawana shida ila mkopo haupewi. Tatizo iko vyuoni kukupokea je kuna chuo itakayo nipokea?
  11. D

    JamiiForums Tanzania nitawezaje kusoma kozi ya 'aeronautics'(aircraft engineering)?

    Wafathili mbona wapo. Kuna shirika hapa hapa tanzania zinazotoa sponsor. Kuna shirika za dini,makampuni,watu binafsi nk. Cha msingi usikate tamaa kuendelea kutafuta
  12. D

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuhacked accaunt

    Hamna haitafaa kwasababu hiyo namba unayoulizwa uingize ni namba ya mwenye username kwasababu unapofungua account yako ya facebook unafunguwa na emai yako kwenye kujaza form na namba yako unaiweka hapo. Namba utakayoulizwa ni ya user so ukiweka yako itakataa kwasababu haitambuliki
  13. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta chuo

    habari za jioni na kheri ya mwaka mpya. mimi ni mwanafunzi nimemaliza muccobs diploma ya accounts nina GPA ya 2.4 or grade C. Nilikuwa naomba ushauri ni chuo gani kitanipokea kwenda bachelor na GPA ya 2.4
Back
Top Bottom