Recent content by dezamba

  1. dezamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Prof. Eginald PAN Mihanjo: CCM ijiandae kuwa chama cha upinzani

    Hoja dhaifu kabisa....sawa tupate kwanza sheria na muundo tmpya wa tume ya uchaguzi alafu twende tukathibitishe ubora na udhaifu wa elimu yake katika vitendo....ccm wanaweza kutoa tume huru na uchaguzi wa wazi kwa uonavyo
  2. dezamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Prof. Eginald PAN Mihanjo: CCM ijiandae kuwa chama cha upinzani

    😅😅😅😅ccm akili huwa mnauza kwenye vyuma chakavu
  3. dezamba

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutangaza biashara yako au kazi zako kupitia medium blogging

    Bado sijaelewa labda nikae nahili bango muda mrefu....najiulizaga sana kuhusu hizo ads zinavyowekwa
  4. dezamba

    JamiiForums Tanzania Ina maana weekend yote hakuna mwana chadema aliyeenda kumtembelea mwenyekiti gerezani?

    Hiyo taarifa kama hajatembelewa umeipata kutoka chanzo kipi mkali mbona cc wajumbe tawi la segerea tumetoka huko
  5. dezamba

    JamiiForums Tanzania KERO Mwezi ujao mwaka unakamilika toka ahadi ya serikali kujenga barabara ya kibada Mwasonga kwa lami

    Mi nilimsikia kada wa ccm kwenye ngenga za siasa anasema wameshajenga kwa lami hadi mwasonga juzi tu....hawa watu waongo sana.....hadi leo hiyo barabara wameishia kuichonga nakuweka makalavati tu.....SIASA ZAO MAJITAKA WANATAFUTA ATTENTION YAKUPIGIWA KURA
  6. dezamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zitto Kabwe: Wanasiasa ambao wanataka kufanya siasa lakini milango imefungwa kwenye vyama vyao, Karibuni ACT Wazalendo

    Hapa ni kamchezo kakutafuta wale covid wakupokelea hela za wahisani ndo kanatafutiwa njia...
  7. dezamba

    JamiiForums Tanzania Tuache uchochezi. Stendi ya Magufuli haijabadilishwa jina lake mpaka sasa

    Mshana mbona kama nikituma ujumbe kwako inbox unagoma bro Mshana Jr
  8. dezamba

    JamiiForums Tanzania Hata shetani ana upendeleo kwenye kugawa utajiri wake

    Naomba no za pastor mkuu
  9. dezamba

    JamiiForums Tanzania ONYO: Hata maisha yakubane kivipi, usije jaribu kwenda kutafuta utajiri wa mashetani, pesa za mashetani hata waganga hawazitaki

    Hii thread ina ukweli mwingi sana sema wenye mizaha mejaa hapa ila hili nimelifanya...nachotaka kujua zinachukua muda gani kuzipata ukishaanza mchakato wake..
  10. dezamba

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kupeana shuhuda mbalimbali za Waganga wa Kienyeji

    Kuna bwana mmoja wa pale mapinga bagamoyo alinisaidiaga sana..nilikuwa na mfanyakazi yani yeye auzi mauzo makubwa nikimuacha peke yake ila nikifika mshindo wa maana akaamua kunichezea nikawa naogopa kukaa ofisini kumkanya akikosea naogopa na nikiweza basi akikasiri siendi ofisin siku mbili hadi...
  11. dezamba

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kupeana shuhuda mbalimbali za Waganga wa Kienyeji

    😂😂😂😂 huyo mdaiwa anaweza akakuleftisha mzee kuwa makini watu wanaofanya dhuluma bila hofu mara nyingi kambi kwa waganga..matapeli majambazi malaya hawa %78 wapo kwenye diary za vilinge....unataka ukadai hela msibani mil.40 c watakususia maiti mmalizane na mdeni wako😁😁😁😁😁
  12. dezamba

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kupeana shuhuda mbalimbali za Waganga wa Kienyeji

    Ishu za waganga zipo kweli ila kutimiza malengo nilazima upitie hasara kubwa ya muda frdha hadhi pengine ndo ufanikishe...nazani uganga nao ni kama betting huna uhakika na matokeo asilimia 100 hata kama uzingatie vgezo kiasi gani
  13. dezamba

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kupeana shuhuda mbalimbali za Waganga wa Kienyeji

    Maana yako nn hapa
Back
Top Bottom