Recent content by Devotha Musoma

  1. D

    Maskini mke wangu kumbe ulitoa mimba? Kwanini sasa hukunambia nifanye maamuzi?

    hii ni kweli kabisa ule ulikuwa ujana na mlikuwa bado hamjaoana, na kama umepata bahati ya kuwa na mke anayekuheshimu iweje uanze kuchunguza yaliyopita? hujui kuwa ni bora aliyefanya hayo kabla ya ndoa na kuamua kutulia wakati umemuoa ni bora kuliko aliyekuwa mwema wakati wa uchumba akaja...
  2. D

    Msaada: Eti nilipe mahari milioni nne (4,000,000)?!

    Mara nyingi wazazi hasa wa upande wa mwanamke hupenda kuweka vikwazo vingi ili waone kama huyo mme wa binti yao yuko serious na kuoawakijua kama uko seriousutalazimika kuwanyenyekea kwa kiac ulichonacho ili wakupe mke, swala la kuoa haliko simple kama umependa na umeamua kuoa komaa nao mpk kiac...
  3. D

    Picha: Wahaya mbwembwe mpaka harusini

    hiyo ndio siku ya muhimu katika maisha yake, mbwembwe zote ana haki ya kuzifanya inatokea mara moja tu na kuna wengine wanatamani wafurahiye cku kama hyo lakini hawaipati! mwacheni mwenzenu asogeze mzigo kariiiiibu sio kuibaiba kila siku!
  4. D

    Kwanini kada nyingine unadharau walimu je ni sababu ya mshahara mdogo au ni nini...??

    Waambie maana watu wanadhani kila aliyekuwa mwalimu bac alifeli, wengine tulikimbilia ualimu ili tupate ajira za harakaharaka then tutafute michongo mingine, kila mtu ana plan zake katika maisha, na kwa baadhi huo ualimu ni sehemu ya kupitia tu!
  5. D

    tamisemi watoa orodha ya watumishi waliohama vituo kwa vibali maalum

    Mi nilisomea butimba ttc, ww waitwa nan na ulisomea wap atleast nikifaham jina naweza kujua kama tunafahamiana
  6. D

    tamisemi watoa orodha ya watumishi waliohama vituo kwa vibali maalum

    yap mi pia mhanga. na mi cjakufaham umetumia jina ambalo c lako nafikiri
  7. D

    tamisemi watoa orodha ya watumishi waliohama vituo kwa vibali maalum

    yap mi pia ni mhanga! yawezekana unanifaham tatizo hilo jina ulilotumia silipati fresh
  8. D

    tamisemi watoa orodha ya watumishi waliohama vituo kwa vibali maalum

    Tamisemi wametoa majina ya wafanyakazi wakiwemo waalimu waliohama vituo kwa vibali maalum leo hii mchana! Cha kushangaza ni kwamba hawatoi tamko lolote kuhusu watu waliokosa ajira!
  9. D

    Mliopo ndani ya ndoa nisaidieni

    inategemea na mapenzi mliyonayo ndani ya ndoa! kufuliana ni kitu cha kawaida na kinaleta raha kama mmeoga wote lakini c kumfanya mmojawao awe mtumwa wa kumfulia mwenzie mara kwa mara, inabidi itokee mara mojamoja tena kistarehe zaidi! na kumpa house girl afue chupi zenu ni utovu wa nidham ni...
  10. D

    Tamisemi inamaana sisi tuliokosa ajira si watanzania?

    hata sie wa sayansi tunang'aa sharubu hatujazipata hzo ajira!
  11. D

    Tamisemi inamaana sisi tuliokosa ajira si watanzania?

    @ clicker, mi nadhani tatizo c chuo bali ni huko wizarani kwasababu watu wa diploma na certificate wanafanya necta na matokeo yao yanaandaliwa wizarani na post zinatoka huko moja kwa moja je chuo kinahusika vipi kwa watu kama hawa? na kuhusu kuandika majina pale mwenyewe, cc tulipeleka mpaka na...
  12. D

    Waalimu wapya ambao hamjapangiwa angalien Website ya Tamisemi.

    yap, yapo ya sjut pekee vipi kwa hao wengine kuna mpango gani? au ndo mwez wa tano? kama kuna taarifa yoyote khs waliobaki naomba msaada!
  13. D

    Serikali haijaajiri wahitimu wote wa ualimu 2013\2014

    ni kweli kabisa tena walimu ambao hawajaajiriwa ni wengi wakiwemo waliotoka vyuoni directly ngazi zote na wale wa stashahada waliomaliza mwaka juzi na kufanya suplimentary mwaka jana wakafaulu lakini hawakuajiriwa. mfano wa uhakika nilionao ni chuo cha ualimu butimba watu 96 hawakuajiriwa, chuo...
Back
Top Bottom