Recent content by devijoy

  1. D

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia ni Nyota njema iliyoonekana ahsubuhi!

    Elimu ya Tanzania imekuja kuwaje? Dr mzima unakuwa chawa kweli? Au ndo elimu za hapa na pale?? Rubbish
  2. D

    JamiiForums Tanzania Meneja: Kibu ana ofa tatu kutoka Nje ya Nchi

    Simba kama wapo serious msimu ujao, Hamna mchezaji humo wa kuifikikirisha Simba
  3. D

    JamiiForums Tanzania FT: Namungo 2 - 2 Simba | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.04.2024

    Katikati panavuja, Beki kule kennedy anavuja
  4. D

    JamiiForums Tanzania FT: Namungo 2 - 2 Simba | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.04.2024

    Huyu Kennedy mpuuzi
  5. D

    JamiiForums Tanzania Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

    Huyo siyo Mungu wa wa Kristo.... Hizo ni flavour za wasiojielewa. Mungu ana utaratibu.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

    Hakuna wito wa hivyo...nachelea kusema kuna kitu kimezidi kichwa hapo
  7. D

    JamiiForums Tanzania Hongera Maulid Kitenge na Nusrat Hanje kufunga ndoa

    Mdogo tu.. Amekosa kijana wa age yake?
  8. D

    JamiiForums Tanzania FT: Coastal Union 1-2 Simba SC | NBC Premier League| Mkwakwani Stadium| March 09, 2024

    Simba mbovu Miqson arudi kwao kijijini tu
  9. D

    JamiiForums Tanzania FT: Coastal Union 1-2 Simba SC | NBC Premier League| Mkwakwani Stadium| March 09, 2024

    Hii michezaji ya Simba ione basi hata aibu[emoji848]
  10. D

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 6-0 Jwaneng Galaxy | Benjamin Mkapa Stadium | 02.03.2024. 19:00 EAT | Simba yafuzu Robo Fainali

    Huyu hastahili tena kucheza simba, aende Ihefu huko. Same na Saidoo
  11. D

    JamiiForums Tanzania Video: Mchungaji Pilipili akiwa Club

    Pilipili kaachwa? Lini hiyo
  12. D

    JamiiForums Tanzania Wadau tusaidiane, mbinu gani nitumie kuisahau timu ya taifa?

    Sasa timu yenyewe ya kina Kibu, Mzamiru na kina Nondo unakuwa na matumaini yote hayo!? Jaribu kutafakari timu yako ingekuwa Egypt, Cameroon. Algeria au wenyeji Ivory Coast ungekua kwenye hali ghani.? Inawezekana mpira haukufai , poole sana achana nao fanya mengine.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Kunani Singida Fountain Gate

    Rupia angefaa kucheza Simba
  14. D

    JamiiForums Tanzania Zipi faida na hasara za kukuza gharama za ujenzi wa nyumba kama alivyofanya Mwijaku?

    Poole.. Hakuna kitu kama hicho.. Labda ingekua serikali inajenga
Back
Top Bottom