Recent content by devagy

  1. D

    JamiiForums Tanzania Nimesikitishwa na Rais Kikwete

    yaan wewe sijui hata nianzie wapi kukuelekeza na sio kukuelekeza tu pia uelewe,anyway nikupe kiduchu tu,rais huwa haendi sehemu hovyohovyo tu kama unavyo-wish wewe,Rais ana group la intelijinsia,na usimuone Dodoma ukajua swala ni huo uzinduzi tu,pia Rais ana wawakilishi sio kila sehemu lazima...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CHADEMA Mbinga awachana Viongozi Waandamizi Jukwaani

    yaan wewe ndio haujielewi kabisaaaaaaaa na utakuwa umerogwa kama hata jambo la kawaida unashindwa kung'amua,akina ARFI walianzia kuwasilisha matatizo hukohuko kwenye vikao vya Chama na hakuna lolote Mbele ya mfalme mbowe na mpaka wakaamua kujitoa bila kutaka ugomvi na mtu,sasa wewe hujui kitu...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe (KUB): Bajeti hii ya Serikali haitoi nafuu kwa mwananchi...

    haujielewi na usipobadilika utabaki hivyohivyo huku ukimsubiria mtu/chama fulani kikuletee maendeleo unayoyataka,utasubiri sana na utakuja kumbuka shuka imeshakuwa asubuhi.nikukumbushe kuwa kiongozi yeyote anayetaka nafasi ni kama sales person tu, he has to win sales/person by different...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe (KUB): Bajeti hii ya Serikali haitoi nafuu kwa mwananchi...

    tumeshamchoka huyu mbowe naye,kila kitu anataka mtaji wa siasa na wajinga lazima wam-support tu,nchi zilizoendelea watu wanahamasishwa na kuhamasika na zaidi wanatamani walipe kodi zaidi kwa maendeleo ya mataifa yao yeye kila siku porojo bila ya kuja na jibu na sio jibu tu,jibu litakalowezekana...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Chuki ya Mbowe na Dr. Slaa kwa Zitto yabainika!

    Hivi kwa maana hiyo jamani kama mbowe angekuwa au akiwa raisi wa nchi hii,kwa mujibu wa maelezo hayo,inamaana huenda tukaweka historia kwamba ndio nchi pekee au miongoni mwa nchi yenye raisi mwenye elimu duni kabisa? ninaomba majibu jamani tafadhali!
  6. D

    JamiiForums Tanzania Makinda amwambia Machali ana laana, naye amwambia Makinda ni dikteta!

    Tatizo ni kwamba unashindwa kutofautisha umahiri na fujo,sifa na dharau.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Ujasusi wa Balozi wa Uingereza: Tanzania, Can We Stand Au Maselle Kugeuzwa Mbuzi wa Kafara?

    Ndugu yangu simiyu hao wapo wengi sana,hawajielewi kabisa na ninafikiri sababu ni wanaongozwa na akili ndogo,huwa hawaelewi kitu hata uwafanyeje,sasa wanajifanya kumponda masele ili sooo lao lijifiche, si tumeshagundua wanapopataga makaratasi yao ya kufungia maandazi.hivi kama kweli una akili...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Hivi John Mnyika ndio msemaji wa Wanambeya?

    aaaaah kama mnyika(m power 4+4=8) ni mlima kilimanjaro,sasa muhongo atakuwa mlima gani tena jamani? aaaah ndio muhongo ni mlima everest.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kinana afichua mbinu za kikundi cha UKAWA katika ziara Mkoani Manyara

    kashajua wananchi wanachohitaji kwenye chaguzi ndogo na jimbo la chalinze na kalenga.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Ujasusi wa Balozi wa Uingereza: Tanzania, Can We Stand Au Maselle Kugeuzwa Mbuzi wa Kafara?

    acha mambo ya kizamani ndugu yangu Waziri ni waziri hakuna Waziri mdogo,unazungumzia kuwekwa kando mambo ya diplomatic etiquettes lakini unasahau mbowe alivyoweka kando katiba hasa pale 9:3, na kuamua kuungana na NCCR na CUF!
  11. D

    JamiiForums Tanzania Makinda amwambia Machali ana laana, naye amwambia Makinda ni dikteta!

    makinda angekataa watu wasiongelee ufisadi wewe ungesikiaje ilihali kafulila alipewa nafasi na mama makinda huyohuyo unayemsema?unamchukia bure wakati utaratibu wa kuchangia upo wazi naye hamchagulii mtu cha kusema mradi asikiuke taratibu na hata akiacha watu wakiuke taratibu nani atalaumiwa...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Serikali imechelewa sana kuchukua hatua dhidi ya Balozi Uk

    wewe mtazamo unaishi nchi gani? ni maelezo gani tena unayataka kuhusu IPTL na escrow? basi subiri na uchunguzi/ maneno ya ziada ya PCCB na cag.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Ujasusi wa Balozi wa Uingereza: Tanzania, Can We Stand Au Maselle Kugeuzwa Mbuzi wa Kafara?

    Ninyi watu ni wa ajabu sana,serikali ikitumiaga busara kwenye mambo mbalimbali yakiwemo hay a mnasemaga serikali hii bwana hakuna uwazi kabisa,masele kafunguka mnaanza hofu nyie lakini tukiwa na hofu ya serikali 3 mnasema sisi waoga,kashilila alitaka bunge lisirushwe live mkamtukana sana...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Makinda amwambia Machali ana laana, naye amwambia Makinda ni dikteta!

    Acheni sifa zisizo na maana na kama haujui taratibu uliza,hivi, hata unajua umuhimu wa zile kamati bungeni? na unajua zimeundwa na nani?
  15. D

    JamiiForums Tanzania Makinda amwambia Machali ana laana, naye amwambia Makinda ni dikteta!

    Lissu alipokuwa anamtukana nyerere na matusi ya sugu ya kila siku,mlikuwa mnachekelea! Leo, m power 4 plus 4=8, unalia.
Back
Top Bottom