Hivi John Mnyika ndio msemaji wa Wanambeya?

Hivi John Mnyika ndio msemaji wa Wanambeya?

wewe ni sawa na kichuguu tu mbele ya Mnyika mlima Kilimanjaro,heshima aliyojijengea wewe hata robo huingii!

aaaaah kama mnyika(m power 4+4=8) ni mlima kilimanjaro,sasa muhongo atakuwa mlima gani tena jamani? aaaah ndio muhongo ni mlima everest.
 
Back
Top Bottom