#1
Natafuta Sana mwalimu wa kiswahili na social studies wa jinsia yeyote. Kijana asiezidi miaka 32.
Aweze kuwasiliana vizuri kwa lugha zote mbili.
Awe na kiwango Cha elimu cha Diploma
Nafasi ya Kazi ipo Berachah valley primary school Chalinze.
Wasiliana na manager wa shule kupitia 0658616363.
Natafuta Sana mwalimu wa kiswahili na social studies wa jinsia yeyote. Kijana asiezidi miaka 32.
Aweze kuwasiliana vizuri kwa lugha zote mbili.
Awe na kiwango Cha elimu cha Diploma
Nafasi ya Kazi ipo Berachah valley primary school Chalinze.
Wasiliana na manager wa shule kupitia 0658616363.
Shule ipo CHALINZE mkoa wa Pwani.
Nafasi iliotangazwa hapo juu imeshajazwa.
Samahani nimechelewa kujibu. Kwa mawasiliano zaidi piga 0658616363 au 0758064672
Berachah Valley Primary and Secondary schools inatangaza nafasi za kazi kwa walimu wa shule za msingi . Mwalimu awe na uzoefu wa kufundisha English medium schools na awe na cheti cha diploma au degree. Karibuni sana. Apply kupitia email yangu deusuzia@gmail.com
Berachah Valley schools iliopo Chalinze Tanzania inatangaza nafasi za kazi kwa ngazi ya nursery na primary. Muombaji awe na uzoefu kazini. awe mbunifu na pia awe na juhudi kazini. Mazingira ya kazi ni mazuri. email your CV at berachahvalleys@gmail.com
Berachah Valley schools iliyopo Chalinze Tanzania, inatangaza nafasi za kazi kwa ngazi ya nursery na primary.
Muombaji awe na uzoefu kazini. Awe mbunifu na pia awe na juhudi kazini. Mazingira ya kazi ni mazuri.
Email your CV to berachahvalleys@gmail.com
Berachah Valley Schools zilizopo Chalinze zinatangaza nafasi za kazi katika ngazi ya nursey na primary.
Moumbaji awe amefikia ngazi ya diploma na kuendelea. Awe na uzoefu kazini, mbunifu na mwenye juhudi.
Email your CV to berachahvalleys@gmail.com
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.