Berachah Valley schools iliopo Chalinze Tanzania inatangaza nafasi za kazi kwa ngazi ya nursery na primary. Muombaji awe na uzoefu kazini. awe mbunifu na pia awe na juhudi kazini. Mazingira ya kazi ni mazuri. email your CV at berachahvalleys@gmail.com