Natafuta Sana mwalimu wa kiswahili na social studies wa jinsia yeyote. Kijana asiezidi miaka 32.
Aweze kuwasiliana vizuri kwa lugha zote mbili.
Awe na kiwango Cha elimu cha Diploma
Nafasi ya Kazi ipo Berachah valley primary school Chalinze.
Wasiliana na manager wa shule kupitia 0658616363.