A Kenyan teacher needed

A Kenyan teacher needed

deusuzia

Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
8
Reaction score
0
Berachah Valley schools iliyopo Chalinze Tanzania, inatangaza nafasi za kazi kwa ngazi ya nursery na primary.

Muombaji awe na uzoefu kazini. Awe mbunifu na pia awe na juhudi kazini. Mazingira ya kazi ni mazuri.

Email your CV to berachahvalleys@gmail.com
 
Wizara ya mambo ya ndani ya Tanzania inahusika hapa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom