Recent content by Deusbaraka

  1. D

    JamiiForums Tanzania Jamani hii ndio join instuction ya sua au kunaingine

    inatakiwa uandike barua ikiwa na passport size makao makuu ya jeshi ukiomba kuahilishiwa muda wa kujiunga na jkt mpaka pale utakapo hitimu masomo. barua yako uiambatanishe na admission letter. kwa maelezo zaidi tembelea web ya jkt. fanya faster mana mwisho wa kupokea barua ni tarehe 5 oktoba.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Jamani hii ndio join instuction ya sua au kunaingine

    joinining instuction inapatikana chuo ndugu.
  3. D

    JamiiForums Tanzania International Medical and Technology University (IMTU) - Special thread

    Nina ndugu yagu yupo jkt amechaguliwa IMTU. anahitaji kufahamu kuwa chuo kitafunguliwa lini.:help:
  4. D

    JamiiForums Tanzania the world's top 100 universities

    2013 Rank 2012 Rank 2011 Rank Institution Country 1 1 1...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mbowe atolewa nje ya bunge

    Dah! kama ndo kumekucha vile, kwa hakika tunakoelekea huko..... mmmh sijui. Na vip kuhusu uzalendo, amani na upendo?
  6. D

    JamiiForums Tanzania Wale mliochaguliwa sua tujuane na tueleweshane plz

    unamaanisha tar 14 oct au?
  7. D

    JamiiForums Tanzania wale wa sua

    asante, nakubali yote, ila kuuliza c ujinga.:smile-big:
  8. D

    JamiiForums Tanzania wale wa sua

    baada ya kufungua page ya tcu nimekuta nimechaguliwa tcu, lakini sijaelewa procedure za registration pamoja na jinsi ya kupata hostel. kwa yeyote anayefafamu naomba anijuze.:help:
  9. D

    JamiiForums Tanzania FIB Tanzania (special forces in Congo) yaichukua ngome kuu ya M23!

    safi sana tunahitaji tuache heshia congo amani atapatikana tu.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya SUA yapo hewani

    ASANTE MKUU, NIMEYAONA:smile-big:
  11. D

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa ardhi university 2013/14

    :disapointed:majina bado tu!!
  12. D

    JamiiForums Tanzania list ya majina ya watu waliochaguliwa zaidi ya chuo kimoja

    Inabidi muaundike barua kuwajulisha tcu chuo au kozi utakayoenda kusoma.:wave:
  13. D

    JamiiForums Tanzania TCU na ufafanuzi wa ubora wa degree zinazotolewa na vyuo vyetu vikuu Tanzania

    Asante kwa taarifa njema! ila mpaka sasa bado account zinafunguka. anyway ngoja tusikilizie kaka.:smile-big:
  14. D

    JamiiForums Tanzania Selection status-tcu

    kwani ndugu yangu kafanya kitu kibaya kuuliza? :smile-big:
Back
Top Bottom