International Medical and Technology University (IMTU) - Special thread

IMTU ni chuo cha wahindi me nisha fika na kucheki maapplication hivyo si wadhawa pesa wameweka mbele sana jipangeni ndug
 
IMTU ni chuo cha wahindi me nisha fika na kucheki maapplication hivyo si wadhawa pesa wameweka mbele sana jipangeni ndug

nimesoma pale Mimi, ni chuo kizuri sana, lkn kama huna pesa utaumia sana, lambda uombe loan, lkn kama ni swala la walimu kwenye fani hiyo, wale wahindi ni wazuri Sana.
 
nimesoma pale Mimi, ni chuo kizuri sana, lkn kama huna pesa utaumia sana, lambda uombe loan, lkn kama ni swala la walimu kwenye fani hiyo, wale wahindi ni wazuri Sana.

kuhusu pesa nimejipanga ndio maana mimeapply kule lakin cha mcng ni kupata elimu bora itayonifanya niwe na maisha yangu badae.
 
Mkuu mi mwnyewe nataka mwakan nkachukue Bsc.Medical Lab, Vp mwaka huu mkopo umepata mana kwenye tcu guide book wameweka priority but hawaspecify amount kias gan wanaweza kukupa. Am little worried abt that naomba mwongzo wako mkuu.
 
tutachanga ukoo mzima , lazima mtu agraduate ... kama watu wanachanga maharusi kwa pombe za siku moja kwa nini wasichange na kwenye elimu..
hata wasipochanga GOD WILL MAKE A WAY , WHERE SEEMS TO BE NO WAY..
hata hao waliofukuzwa kwa ajili ya ada nao walikuwa na ukoo na walikuwa wanakesha na kuomba kinoma.....
....GOD WILL MAKE THE WAY ONLY IF THERE IS NECESSARY AND POSSIBLE TO DO THIS
 
Habari wadau.
Naomba kwa yoyote aliyoko imtu anaeingia mwaka wa pili na kuendelea tuwasiliana. Email yangu ni pplus89@gmail.com.
 
Ndugu zanguni naombeni kujua unaongezea shillingi ngapi iwapo loan bord wakikupa asilimia 100 kwa aliyechaguliwa kusoma bachelor degree ya MAABARA
 
Nimeongea na wenyeji wanasema ukitanguliza kama 1mil kw kuanza si mbaya.Nyingine utajazia mkopo ukitoka.Mwanzoni ada ni ndefu kidogo.
 
Nimeongea na wenyeji wanasema ukitanguliza kama 1mil kw kuanza si mbaya.Nyingine utajazia mkopo ukitoka.Mwanzoni ada ni ndefu kidogo.
Acha kujiongopea labda kama una point ndogo otherwise hama huko mapemaaaa!......
 
Ndugu zanguni naombeni kujua unaongezea shillingi ngapi iwapo loan bord wakikupa asilimia 100 kwa aliyechaguliwa kusoma bachelor degree ya MAABARA

vp Umepanic ?
Wewe kama ni Imtu jipange ki mshiko coz hata upewe 150% utalazimika tu kujiongeza kiasi fali.
SASA NI TSH NGAPI?
Nadhani hilo HESLB watakupa majibu sahihi pindi watakapotangaza !
 
Wakati unangoja info kutoka kwa wadau wa IMTU ,Jaribu kufuatilia thread za IMTU zilizopitita,unaweza pata pa kuanzia
 
Back
Top Bottom