Recent content by Deus Michael Ndololo

  1. Deus Michael Ndololo

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Hisa za CRDB PLC on DSE

    CRDB hisa zake zitapanda mno, maana kulwa yeye anazidi kukimbia mbio, hivyo hawezi muacha mwenzake akimbie umbali mrefu sana.
  2. Deus Michael Ndololo

    JamiiForums Tanzania H-Pylori ni hatari sana. Kichwa kuuma kizunguzungu kama nataka kuanguka

    Huyu mdudu msumbufu sana jamani, tupeane dawa.
  3. Deus Michael Ndololo

    JamiiForums Tanzania Dini imetekwa na miujiza

    Aisee!
  4. Deus Michael Ndololo

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnishauri biashara ya kufanya ili nitoboe

    Biashara ya mafuta ya kula. Subiri bei ikishuka sana ndio unanunua mzigo wa kutosha. Mfano, mwezi Jana yalikuwa yanauzwa 81,000/= dumu la lita ishirini, now yanauzwa elfu tisini na Moja. Umenunua dumu nyingi inapiga hela nyingi
  5. Deus Michael Ndololo

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma za UTT ni mbaya sana siku hizi

    Nashauri kichwa cha habari kingekuwa, "huduma ya kuingia kupitia App ya Utt AMIS inasumbua nifanyaje?" Ila unaposema huduma za UTT ni mbovu hapo unakosea sana.
  6. Deus Michael Ndololo

    JamiiForums Tanzania Naweza kuanzisha biashara gani kwa mtaji wa Milioni 5 kwa mwaka 2026?

    Nitafute Whatsap 0764067370 Tunaweza double mtaji na tukaja na wazo zuri la kutufikisha mbali.
  7. Deus Michael Ndololo

    JamiiForums Tanzania Natamani tupatane watu 40 wenye milioni 5

    Hii ndio maana ya uwekezaji
  8. Deus Michael Ndololo

    JamiiForums Tanzania Natamani tupatane watu 40 wenye milioni 5

    Sio 1.2M ni 2.1 per month na zaidi.
  9. Deus Michael Ndololo

    JamiiForums Tanzania Natamani tupatane watu 40 wenye milioni 5

    Yote yanawezekana, kujiinua na kuinuana sisi
  10. Deus Michael Ndololo

    JamiiForums Tanzania Natamani tupatane watu 40 wenye milioni 5

    Ndio maana kwenye maisha Kuna wanaofaulu na wanaoshidwa. Usiwe miongoni mwa wanaoshidwa Kwa sababu lukuki. Ndio maana Kuna wanafanikiwa na wanaobaki kuwaita fremason. Wazee wa sababu huwa hawaishi na mstari huo ndio
  11. Deus Michael Ndololo

    JamiiForums Tanzania Natamani tupatane watu 40 wenye milioni 5

    Hakuna sehemu ambayo nimelalamika, rudia kusoma makala. Isipokuwa nimesema watanzania wengi hujifikilia sana kwenye mambo "positive" nikisema mambo positive basi lielewe neno positive. Ni sawa na mtu atumie saa nzima kujifikilia kwenda chooni 🤣, hata usipomlazimisha tutafika wakati ataenda tu...
  12. Deus Michael Ndololo

    JamiiForums Tanzania Natamani tupatane watu 40 wenye milioni 5

    Kawafuatilie vizuri uone, riba inazaana Kila mwezi kama hutotoa chochote, Kila mwezi uwekezaji unaendelea kuhesabika. Mfano ukaweka Mil 10, mwisho wa mwezi itaongezeka na kuwa Mil 10 na laki na ushee na itaendelea kujihesabu Tena.
  13. Deus Michael Ndololo

    JamiiForums Tanzania Natamani tupatane watu 40 wenye milioni 5

    Ndugu, machuguzi ni mamoja tu, kufuata mkumbo au kufuata misingi imara ya fedha. Wanaofuata misingi ya fedha ndio hupata fedha zaidi, na wanaofuata mkumbo huishia kujilaumu.
  14. Deus Michael Ndololo

    JamiiForums Tanzania Natamani tupatane watu 40 wenye milioni 5

    Sifa Moja ya tapeli ni kutokukufafanulia vizuri dhumuni lake kuu kuhusu fedha anayokusisitiza kuitoa, kipi ambacho nimeongea hujaelewa?, pia sijakwambia utoe nimekuja na wazo la uwekezaji, na huu uwekezaji uko wazi DUNIANI, so, hata wewe binafsi unaweza fuatilia na kujiridhisha kuwa ni kweli or...
  15. Deus Michael Ndololo

    JamiiForums Tanzania Natamani tupatane watu 40 wenye milioni 5

    Umimi ndio umetawala kwetu wabongo.
Back
Top Bottom