Kama mabadiliko tumeyaona si ametoka kikwete kaingia Magufuli, sasa tunahitaji maendeleo, mm natakubali maandamano safari kama Mbowe, mbatia na lowassa watakua mbele kama alivyofanya mke wa slaa pale Arusha!!
Swala kutofautiana kura za rais na mbunge ndio wizi? wewe ni sawa na watu waliolalamika kuwa wamepata kata nyingi ila mbunge kashindwa, watu wamechagua mtu hzo sehemu
Mimi nakubaliana na wewe kuhusu uwezo mdogo wa kutafakari kwa watz, mi nafikiri tatizo kubwa nalo ni elimu ndugu, kweli elimu ni muhimu sana katika kusukuma gurudumu la nchi, nlipata kumsikia Zitto akiwasisitiza watz tusome sana hili tuweze kutafakari mambo ilikuwa ktk kigoda cha JK pale UDSM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.