Recent content by detective mfaume

  1. detective mfaume

    Faida 5 za kuwa na mfumo wa mauzo katika biashara yako

    Mfumo wa mauzo kwa hapa nikielezea zaidi mauzo360 una faida kadhaa kwa biashara na mfanya biashara. Hapa chini ni baadhi ya faida za kutumia mfumo wa POS: 1. Usimamizi bora wa hesabu: POS inasaidia kudumisha hesabu sahihi za bidhaa. Yanapofanyika mauzo, mfumo wa POS moja kwa moja hupunguza...
  2. detective mfaume

    Kazi za Mfumo wa Mauzo POS Utakaofaa Biashara yako “mauzo360”

    Kama wewe ni mfanya biashara, utakubaliana na mimi kua nyakati zinabadilika. Wakati teknolojia inaongezeka ni jukumu la mfanya biashara kujua teknolojia hii itamsaidiaje kurahisisha shughuli zake huku akiongeza faida. Makala hii fupi inakueleza kuhusu kazi za mifumo ya mauzo hasa “mauzo360”...
  3. detective mfaume

    Unadhibiti vipi Biashara yako? Wafanyakazi wasikuibie? Soma hii

    eDuka haipo playstore ni web. Tembelea mauzo360
  4. detective mfaume

    Unadhibiti vipi Biashara yako? Wafanyakazi wasikuibie? Soma hii

    Inamilikwa na kampuni inaitwa Tronestech Solutions. Kwasasa ni mauzo360 kutoka jina eDuka Pita na link hii mauzo360
  5. detective mfaume

    Tambua na Uwaepuke Hawa Maadui Watatu Kama Unahitaji Kuzifikia Ndoto Zako

    Hawa ndio maadui watatu wanaozuia watu wengi kuziendea na kuzifikia ndoto zao[emoji1484][emoji1484][emoji1484]
  6. detective mfaume

    Biashara ya Wallpapers/Karibu Ujifunze

    Biashara ya wallpapers inakua kwa kasi sana Tanzania. Hii ni kutokana na uhitaji na unafuu wa bidhaa hizi. Wallpapers zinatumika katika maduka ya ofisi na nyumbani pia kama moja ya kuifanya nyumba kua ni ya kisasa. Maduka ya frame kama saloon, urembo na ofisi za ma graphics designers hupendelea...
  7. detective mfaume

    Unadhibiti vipi Biashara yako? Wafanyakazi wasikuibie? Soma hii

    karibu sana boss[emoji1431][emoji1431][emoji1431]
  8. detective mfaume

    Unadhibiti vipi Biashara yako? Wafanyakazi wasikuibie? Soma hii

    Habari wanajukwaa? Natumai mko salama na buheri wa afya. Leo nataka tujifunze kitu kwenye biashara. Mabosi wengi huibiwa na wafanyakazi bila kujua, na wasijue nini chakufanya. Kazi inakua nikubadili wafanyakazi kila baada ya miezi na tukio? Tunahifadhi taarifa za bishara kwa makaratasi. Muda...
  9. detective mfaume

    Siri za Vitabu

    Nalifanyia kazi hilo mkuu mapema tu
  10. detective mfaume

    Siri za Vitabu

    karibu sana[emoji1431][emoji1431][emoji1431]
  11. detective mfaume

    Siri za Vitabu

    Vitabu ni hazina. Kupitia vitabu akili zetu zinakutana na akili kubwa. Katika vitabu watu wenye mafanikio wanaongea nasisi, wanatupa mawazo yao na uzoefu wao katika mafanikio. Vitabu ni sauti ya watu ambao wako mbali nasisi na hatuwezi kukutana nao, ni sauti ya watu waliokufa wakituachia urithi...
  12. detective mfaume

    Mapinduzi katika nchi za kiarabu/Arab Spring

    Mohamed Bouazizi, kijana mdogo, moambanaji alieamua kujichoma moto mbele ya ofisi za serikali baada ya kufanyiwa dhuluma kwa kutaifishiwa kibanda chake cha mbogamboga na polisi na kutukanwa. Alipoona barua zake hazijibiwi na maafisa wa serikali, na jitihada zake hata za kumuona raisi...
  13. detective mfaume

    Kumbukizi ya shambulio la kigaidi balozi za Marekani nchini Tanzania na Kenya mwaka 1998

    Ni kumbukizi ya miaka 23 toka Osama Bin Laden chini ya kundi la Al-Qaeda kulipua balozi mbili za Marekani nchini Tanzania na Kenya, akishirikiana na kundi dogo kutoka Misri. Hili ndilo tukio lililomleta Osama katika Uso wa dunia kama mtu hatari zaidi
Back
Top Bottom