Recent content by destino

  1. D

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Uhuru lammaliza Lowassa

    mimi na tanzania, wakati mwingine wanasiasa wanatupotezea muda..
  2. D

    JamiiForums Tanzania shemeji ananitaka kimapenzi....!

    nasikia jamaa fulani katoka Habari Corporation sasa anatamba kuwa kajivua gamba. Mnajua kilichomtoa huko? Jamaa ni mlevi kweli, akiwa analambwa mitaani akiwa fofofo sasa uongozi ukaona hauna sababu ya kuendelea kuaibishwa na mtu wa aina hiyo. Nasiki huko ofisini kwake wameshukuru.
  3. D

    JamiiForums Tanzania shemeji ananitaka kimapenzi....!

    Kama kajipendekeza wewe kula vitu tu!
  4. D

    JamiiForums Tanzania GE2010 Kikwete Live on Power Breakfast (Clouds FM)

    napata shaka na naanza kuamini kinachosemwa mtaani kwamba forums hii imeelemea upande mmoja, wachangiaji wako brain washed
  5. D

    JamiiForums Tanzania GE2010 Kikwete Live on Power Breakfast (Clouds FM)

    acheni unafiki, kwenye ukweli semeni na kwenye propaganda zenu semeni, kila mtu amesikiliza mahojiano yale..hata kama mtu hamumpendi basi msionyeshe udhaifu wenu na chuki zenu, narudia kila mtu amemsikiliza na amemuelewa
  6. D

    JamiiForums Tanzania GE2010 Magazeti haya ni wakala wa CCM

    mnatuchanganya, kwani mijadala ya humu ni kumponda jk na ccm yake na kumsifia slaa na chadema yao
  7. D

    JamiiForums Tanzania GE2010 Utitiri wa matawi ya CCM United Kingdom!! Njaa ama Kujipendekeza?

    nadhani hoja ina mantiki
Back
Top Bottom