Recent content by Desmund

  1. Desmund

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa wengine watatu wa Sakata la ESCROW wafikishwa mahakamani leo

    MUHONGO na wenzake ndiyo tunataka kwanza wapelekwe maha:mullet:kamani, acha porojo.
  2. Desmund

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa wengine watatu wa Sakata la ESCROW wafikishwa mahakamani leo

    Vigogo waliyotajwa na kamati ya hesabu ya bunge, mbona hawaprlrkwi mahakamani? Akina MUHONGO na wenzake.
  3. Desmund

    JamiiForums Tanzania Anafaa kuwa Rais?

    Anfaa ili wananchi wapigwe tu
  4. Desmund

    JamiiForums Tanzania Anafaa kuwa Rais?

    wapigwe tuuuuuuu
  5. Desmund

    JamiiForums Tanzania Gwajima amtumia salamu CAG Prof Asad kufuatia ombi lake la kujengewa msikiti ofisini

    karibu nssf kwa bwana ramadhani dau.
  6. Desmund

    JamiiForums Tanzania Rais wangu Kikwete, Kagame anajua kila unachofanya na kupanga

    ISRAEL inalinganaje? Naa ni kipi kinaendelea huko? :cheer2:
  7. Desmund

    JamiiForums Tanzania Mwandosya"za umma", Kikwete "za IPTL", iwapi serikali?

    Mwenye digrii ya CHINA ndiye mshindi, una la kuongezea?:tonguez:
  8. Desmund

    JamiiForums Tanzania Mwandosya"za umma", Kikwete "za IPTL", iwapi serikali?

    Aliyekuwa MZALENDO ajitokeze kuwa yeye ndiye mkweli. Ila huyu aliyepata ya CHINa, huenda akili inachemka sana. Naomba kujuzwa.
  9. Desmund

    JamiiForums Tanzania Hili lilikuwa tusi eti sasahivi ni sifa

    "NYOKO" ni neno la kihaya, limanisha "MAMAKO"
  10. Desmund

    JamiiForums Tanzania Vijana wa CHADEMA Geita watembea kwa mguu hadi Ikulu Dar es Salaam

    Zamu hii mtakubai kuwa SEMBE mweupe ni BALAA, hata hiyo RAY C Foundation itabaki jina tu.
  11. Desmund

    JamiiForums Tanzania Kata ya Soweto mtaa Wireless kuongozwa na kijana mdogo CHADEMA

    Peopleeeeeeee's power. Na bado
  12. Desmund

    JamiiForums Tanzania Singa Singa ameiweka serikali ya Kikwete mfukoni

    Unajua maana yakupewa u-professa na CHINA bila kuingia darasani? That is it.
  13. Desmund

    JamiiForums Tanzania Mengi kusomewa albadiri Dar es Salaam

    Naona wengi humu mnajibu kwa jazba na hasira, ni vema SHEIKH akashauriwa kutumia njia za kistaarabu na ikiwezekana pia kumuelemisha jinsi yakushughulikia shauri zinazoelekezwa kwenye limited companies, hiyo tu ili weze kufuatilia madai yake ipasavyo.
  14. Desmund

    JamiiForums Tanzania Mgao sakata la ESCROW

    Typographical....."don't argue with a fool people might not notice the difference"
  15. Desmund

    JamiiForums Tanzania Mgao sakata la ESCROW

    You are quite rights... dont argue with a fool people might not........
Back
Top Bottom