Recent content by Derickdeo21

  1. Derickdeo21

    JamiiForums Tanzania Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Hi mwenye link ya group la YANGA anitumie
  2. Derickdeo21

    JamiiForums Tanzania Education for all

    Computer science mwaks uliopita nilikua nimechhaguliwa IFM sababu ya geograph na economics nimeomba diploma
  3. Derickdeo21

    JamiiForums Tanzania Education for all

    Chuo cha bandari nimeomba (Logistics and transport management) Ifm nimeomba course zifuatazo 01.computer science 02.social protection 03.taxition
  4. Derickdeo21

    JamiiForums Tanzania Education for all

    Form four Civics D English C Kiswahili D Geograph C History C Chemistry C Biology C Math F Physics D Form six History E Economics E Geography E Bam F
  5. Derickdeo21

    JamiiForums Tanzania Education for all

    Nina div three ya 15 na form four nikipata division three ya 23 nilisoma HGE nimetuma maombi chuo cha bandari na IFM
  6. Derickdeo21

    JamiiForums Tanzania Education for all

    Ahsante sana kwa ushauri kikubwa mimi ninachotaka ni kupata mtu au taasisi wa kuweza kunisadia katika masomo ya chuo kwa upande wa ada kuhusu mlolongo wa elimu yanga nilaanza 2005 mpaka 2011 shule ya msingi baada ya apo nikajiunga elimu ya sekondari kuanzia mwaka 2012_2015 baada ya apa...
  7. Derickdeo21

    JamiiForums Tanzania Education for all

    Naomba unisadie taasisi izo
  8. Derickdeo21

    JamiiForums Tanzania Tuition scholarship

    Hi for every one and I wish God is able for every one my name is mr Derrick Deo have a problem concern about education issue come there to search a sponsor you help me to pair tuition fee for university in diploma program. Am form six leaver graduate last year but failed to join university...
  9. Derickdeo21

    JamiiForums Tanzania Udhamini

    Habari za wakati huu wanajamvi natumai mungu ni mkuu na mweza wa yote nimekuja mbele yenu nikiwa na hoja ifuatayo kwanza kwa majina naitwa Derick Deo nimemaliza masomo ya kidato cha sita ila kwa bahati mbaya alama nilizopata aziniruusu kuendelea na shahada ya kwanza kwahiyo inanibidi kuanzia...
  10. Derickdeo21

    JamiiForums Tanzania Education for all

    Sawa ahsante kwa ushauri
  11. Derickdeo21

    JamiiForums Tanzania Education for all

    Hellow habari za mida hii wanajamvi natumai mungu anajalia uzima kwanza kwa majina naitwa Derrick Deo nimekuja mbele yenu na baadhi ya maswali ambayo nahitaji usadizi wenu kwa njia yeyote samahani nilikua nataka kujua kuna asasi gani au taasisi zinazotoa usadizi kwa wanafunzi mbao ni non degree...
  12. Derickdeo21

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina elimu ya kidato cha Sita

    Habari za muda huu wana jamvi, Nimekuja mbele yenu kuomba nafasi ya kazi au fursa kwa majina naitwa Aderick Deogratias. Nina umri wa miaka 23, naishi mkoa wa Dar es Salaam, Mbagala nina elimu ya kidato cha sita nimesoma masomo ya uchumi. Nina uzoefu katika kazi zifuatazo, Supervisor, Sales &...
  13. Derickdeo21

    JamiiForums Tanzania Hodi humu

    Hey mgeni hapa nataka kukaribishwa nimevutiwa sana na ukurasa huu na nimeamua kua member wa JF nawapenda sana wanajamvi wote
Back
Top Bottom