Recent content by Dereva wa rais

  1. D

    JamiiForums Tanzania Nimekamatwa kwa kukutwa nachezesha Playstation.

    Pole sana mkuu! Mm pia nlshawah kukutwa na tukio kama hlo la kukamatwa eti nachezesha ps watoto wadogo under 18 na nikapewa kosa jngne kua eti ps ni mchezo wa kamal hvyo inabd niwe na vbali vya osha, tra, na bodi ya michezo ya kubahatsha pia nkaambiwa nafanya wanafunzi wafeli wakat mda wangu wa...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Ridhwani: Jakaya Kikwete yupo salama wa afya nyingi, hana tatizo la kiafya

    we unajtambua kweli?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini kozi fupi za madereva NIT ni gharama sana?

    sio sawa kabsa na hajajibu hoja
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini kozi fupi za madereva NIT ni gharama sana?

    hata kama ni chuo bora hzo laki nne mwez mmoja ni kubwa sana watanzania weng hawana uwezo wapunguze kdogo
  5. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini kozi fupi za madereva NIT ni gharama sana?

    sijajiita mnyonge soma vizuri lakn pia tambua hata kama mimi na wewe sio wanyonge ila nchi hii wanyonge wapo afu ni wengi.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini kozi fupi za madereva NIT ni gharama sana?

    Kama kichwa cha habari kinavyo eleza hapo juu! Hivi hiki chuo si serikali jaman? Kozi ya mwezi mmoja laki nne. Wanyonge wanasaidiwaje maana wengi hawana uwezo huo wa kumudu hzo gharama.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru: Namshukuru Rais Samia kwa kuniteua kuwa mbunge, hii ni heshima kubwa kwangu kwani hadi sasa tuko nane

    kama hakupata nafas ya kuongea ultaka afanyaje? Wabongo bwana
Back
Top Bottom