Recent content by deoxy

  1. D

    Natafuta kazi za Sales executive

    Wakuu naombeni connection ya sales executive nina uzoefu wa miaka miwili kutoka kwenye kampuni kubwa, kama kuna kazi tofauti na hyo nipo tayari kuifanya nipo dar, 26yrs
  2. D

    Ninahitaji Kazi

    Naipata mwezi ujao kaka wanivumilie
  3. D

    Ninahitaji Kazi

    Haupo serious kaka,,
  4. D

    Ninahitaji Kazi

    Naweza kuendelea pikipiki,, na magari pia ila bahati mbaya bado sjapata leseni
  5. D

    Ninahitaji Kazi

    Wadau naombeni connection ya kazi, kazi yoyte nitaifanya kiufasaha. Nina experience ya miaka miwili as sales officer na marketing, nipo dar. Simu: 0757148294
  6. D

    Wadau naomba Connection ya kazi

    Wakuu naombeni connection ya kazi,nipo flexible kupiga kazi yoyte kiufasaha. Nina experience ya miaka miwili as sales officer na marketing, nipo dar
  7. D

    Nafanya biashara ya mbao za pines Njombe, na udalali wa miti

    MBAO.. Habari zenu wakuu!! Mi ni dalali na mchanaji wa mbao mkoani NJOMBE,, naomba kutangaza anayehitaji kujumua mizigo wa mbao ama kuanza biashara ya MBAO zilizokaushwa,, aina ya miti ni pines,, anaweza kunicheki kwa namba 0657765168 nipo njombe mjini.. BEI ya shambani.
Back
Top Bottom