Recent content by Deontic

  1. Deontic

    JamiiForums Tanzania Mufti Mkuu asema "Punguzeni dhambi mvua zinyeshe"

    Wapi huko inanyeesha mkuu.
  2. Deontic

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa Ugonjwa huu wa kuku

    Shukrani
  3. Deontic

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa Ugonjwa huu wa kuku

    Sawa sawa
  4. Deontic

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa Ugonjwa huu wa kuku

    Sawa kwahiyo niwaanzishie hiyo ya kideri wote?
  5. Deontic

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa Ugonjwa huu wa kuku

    Shukrani but nitumie chanjo ipi maana kuna vifaraga wengine 30 wana wiki moja sijawapa chanjo yoyote na je naweza kuwachanja wote hata wanaoumwa?
  6. Deontic

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa Ugonjwa huu wa kuku

    Hawakupewa chanjo japo wakubwa nao walipewa mwezi wa saba nilitaka nirudie tena mwezi kumi
  7. Deontic

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa Ugonjwa huu wa kuku

    Shukrani ase ngoja nianze nayo
  8. Deontic

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa Ugonjwa huu wa kuku

    Vifaranga wangu 20 wa miezi miwili wanatoa kinyesi laini cheupe na wanakosa nguvu ya kusimama, miguu inalegea pia wamezubaa, naombeni ushauri ni dawa gani inafaa niwanusuru , maana mpaka sasa kafa mmoja na watano wanahali mbaya hawali kabisa, pia wanatoa kinyesi chenye maji maji.
  9. Deontic

    JamiiForums Tanzania Tujuane wadau wa biashara, ulipo na bidhaa zako

    Shamba kukodi ni sh ngapi mkuu?
  10. Deontic

    JamiiForums Tanzania Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

    Mimi nashindwa kwenye kujisajili baada ya kujaza Particulars app kwenye kubonyeza ili kuendelea hapabonyeki, Msaada wadau ninakosea wapi
  11. Deontic

    JamiiForums Tanzania Watoto zangu sitataka waishi maisha niliyopitia baba yao

    [emoji23] kweli mkuu, akue ayaone
  12. Deontic

    JamiiForums Tanzania Ngedere wanamaliza mahindi shambani naombeni mbinu za kuwadhibiti

    Shukrani mkuu
  13. Deontic

    JamiiForums Tanzania Ngedere wanamaliza mahindi shambani naombeni mbinu za kuwadhibiti

    Kama kichwa kinavyojieleza, nimelima shamba la mahindi kama ekari mbili maeneo ya Mufindi Iringa , mahindi yako kwenye hatua ya kuanza kuchanua. Sasa Leo nimeenda kuangalia nimekuta jana wameshindia kuvunja vunja yale yaliyokuwa yameanza kuweka mahindi karibia shamba lote, naombeni mnisaidie...
Back
Top Bottom