Recent content by Deogratias Munishi

  1. Deogratias Munishi

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Nataka kurithiwa na rais kijana!

    Uwe mzee uwe kijana kwangu mimi hakuna tija. Kama huna uadilifu usiotiwa mashaka, huna rekodi ya uwajibikaji uliotukuka, huna dira sahihi ya kuliongoza taifa hili na huna uzalendo usio na mawaa kwa taifa letu, hustaili kuwa kiongozi wa tifa hili kwa vyovyote vile iwavyo uwe mzee uwe kijana...
  2. Deogratias Munishi

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Nataka kurithiwa na rais kijana!

    Ni utoto kama si ushamba kuujadili urais wa nchi hii kwa minajili ya rika. Tatizo kubwa IKULU ya TANZANIA imechezewa chezewa kiasi kwamba kila mtu anajiona ana uwezo wa kuwa rais. Kama si muadilifu, mwajibikaji, mwenye dira sahihi ya wapi taifa linaitaji kwenda na mzalendo kwa nchi uwe kijana...
  3. Deogratias Munishi

    JamiiForums Tanzania Magazeti ya Mtanzania na Mwananchi yafungiwa na Serikali!

    Kufungia magazeti haya kunatoa tafsiri moja kubwa kuwa sasa serikali ya CCM ni ya kidikteta inayotumia sheria za kidikteta kukandamiza uhuru wa raia wake kupokea na kutoa habari. Mathalanai, serikali kuitwa goi goi ni uchochezi gani huo wakati ukweli unabaki pale kuwa seriklai mpaka leo hii...
  4. Deogratias Munishi

    JamiiForums Tanzania Hodi jamii forums

    Nashukuru kwa ukaribisho wako Majanikv. Ninaomba nisijibu maswali yako ambayo kimsingi ni ya kutaka kujua mikakati ambayo haiwezi kuwekwa hapa ambako natambua kuna wanachama wa BAVICHA na kwa maana hiyo pia CHADEMA na wasio wanaCHADEMA kwa maana ya vyama vingine. Kuifahamu mikakati hiyo ni kuwa...
  5. Deogratias Munishi

    JamiiForums Tanzania Hodi jamii forums

    Nafurahi kuwa sehemu ya jukwaa hili kama mwanachama rasmi sasa. Hapo nyuma nilikuwa mtu wa kuangalia yanayojiri hapa pasi kuwa na uwezo wa kuchangia chochote. Kwa sasa naamini ni fursa kujadili na kutoa fikra na misimamo binafsi na ile ya itikadi ambayo ninaiamini na kuipigania pale inapobidi...
Back
Top Bottom