Nataka kujiajiri lakin sijui pakuanzia..Ninakipaji cha kutunga HADITHI za MOVIE na MASHAIRI kazi hii nimeanza tangu 2006,nilishawahi kufanya kazi na magazeti ya NIPASHE,MAJIRA na MWANANCHI baadhi ya HADITHI zangu ni HARUFU YA MAUTI,MTEJA ZUMBUKUKU,VUVUZELA,NILIMUUA MAMA,MALAIKA MWENYE...