Recent content by Deo Meck Mbagi

  1. D

    JamiiForums Tanzania Lilongwe: Watanzania Washangilia Balozi wa Tanzania kuondolewa, yadaiwa alizorotesha Mahusiano ya Ubalozi na Watanzania wenzake

    Wewe kijana wa Mbowe unapiga majungu huku. Wakati boss wako yuko kwenye payroll na Polepole ni Balozi. Na mkeo unagongewa sababu huna pesa. Stupid.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Trucks (Canter na Fuso kwa mkataba)

    Nashukuru sana Mkuu
  3. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Trucks (Canter na Fuso kwa mkataba)

    Sawa nimekuelewa. Nina kampuni ya Usafirishaji. Nahitaji magari hayo kutumika katika kazi za kampuni. Maana mahitaji yameongezeka. Magari hayo naweza kukodi kulingana na makubaliano. Au kuyanunua kwa kulipa kiasi kila mwezi hadi kukamilisha malipo. Kwa mfano nalipa ndani ya mwaka mmoja.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Trucks (Canter na Fuso kwa mkataba)

    Hello. Nahitaji magari yafuatayo kwa mkataba. Kama ambavyo watu hutoa mkataba wa pikipiki na gari za Uber. Nahitaji; 1. Fuso 10 Tone. 2. Canter 3.5 Tones. Au Eicher au Tata.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Spika, jinsi wabunge wanavyoiba/kufisadi pesa za walipa kodi wanazopewa kama mishahara ya makatibu, wahudumu na dereva wa mbunge

    Mh. Spika simamia ajira za wasaidizi wa Mbunge kuondoa ubinafsi, uchoyo na ufisadi. Wabunge wengi hawalipi mishahara kamili kama inavyotoka bungeni. Watumishi hao ambao ni watatu, Katibu, Dereva na Mhudumu wa ofisi hawapewi mikataba ya kazi na wabunge kinyume na agizo la Bunge. Wasaidizi hao...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Mliosoma vyema Communication Skills na Public Speaking hii style ya Kuongea ya Abdul Nondo wa ACT-Wazalendo inaitwaje?

    Stress za kukosa hela ya kula na kuishi ghetto la rafiki kwa masimango
  7. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inapokea ruzuku kama kawaida, hawajaigomea

    Hiyo haki wanaidai wapi?
  8. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inapokea ruzuku kama kawaida, hawajaigomea

    Hata Viti maalum ni takwa la kisheria.
  9. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inapokea ruzuku kama kawaida, hawajaigomea

    Ule usemi wa kuwa boss hanuniwi unaendelea kudhihirika ndani ya Chadema. Ambao walisema hawautambui uchaguzi hivyo chochote wanachopata kutokana na uchaguzi huo hawatakipokea. Lakini kwenye pesa imekuwa tofauti kwani hivi sasa wanawinda 109M kila mwezi toka November na hawajazikataa. === Miezi...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Mambo yatakayofanywa na CHADEMA siku 100 za kwanza

    Ulitabiri vyema
  11. D

    JamiiForums Tanzania DC Bukoba aamuru walimu wachapwe mboko!

    Ufukuzi sasa...
  12. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbowe: Ndani ya saa 72 nitakuwa Waziri Mkuu

    Waziri mkuu wa Ufipa
  13. D

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na Lissu wakutanishwe

    Lissu akutane na Rungwe apewe ubwabwa maharage itapendeza
  14. D

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na Lissu wakutanishwe

    Lissu akikutanishwa na Rungwe itapendeza zaidi.
Back
Top Bottom