Recent content by Dentex

  1. D

    Series (Special thread)

    Nope had Kupakua movie unapakua kuna mahala wameandka download mode
  2. D

    Kanye West mbona anavaa kimaskini sana au ndo tuseme anaugua uchizi??

    Kwa jicho LA kawaida utamuona ngosha ila kwa mtazamo wa fashion utagundua jamaa amewaka sana amependeza aan kwan kwenye fashion kuna kitu ambcho tunakzngatia wachache ambcho knaitwa FOCUS OF ATTENTION yaan uvae vipi ili uteke umakini was watu hata kama mkiwa mmeongozana watu zaidi ya kumi hapo...
  3. D

    Series (Special thread)

    #DRAMANIA hii app kaipakue hakyanan hutajutia kuna series za kikorea mpya na za zaman👍
  4. D

    Series (Special thread)

    Aisee hizi ni kisanganenda kaztafte then ni mpyaa!! 1 Dear Judge 2 Unholy Alliance 3 Mr Robot Nikuhakikishie tu kua hutajutia 👍
  5. D

    Mwanamke asiyejua kupika ni mzee baba

    Au unamkuta anajua kupka misosi ambyo tulikua tunakulaga boarding school tena kwa ubora ule ule 😀
  6. D

    Vans na all star ipi bora

    Iko hivii Vans imeikuta All Star na itapita na kuiacha All Star ikitamba na pia kama wew ni kabwela kama Mimi nikupe siri ya kuchagua nguo na viatu jaribu kuchagua kitu ambacho kinadumu na pia hakipitwi na wakati yaan kila siku bado kipo kwenye form tu!!
Back
Top Bottom