Kanye West mbona anavaa kimaskini sana au ndo tuseme anaugua uchizi??

Dem wake anamzingua kuna kideo anapigwa bonge la ndonya dah tena mtandao pendwa jamaa anajitahidi sana kuzuia uchizi
Mkuu siamini hadi nione video, tupia Kule jukwaa pendwa, usisahau kunitag lakini
 
Kwa jicho LA kawaida utamuona ngosha ila kwa mtazamo wa fashion utagundua jamaa amewaka sana amependeza aan kwan kwenye fashion kuna kitu ambcho tunakzngatia wachache ambcho knaitwa FOCUS OF ATTENTION yaan uvae vipi ili uteke umakini was watu hata kama mkiwa mmeongozana watu zaidi ya kumi hapo KANYE WEST amezngatia hcho na amefanikiwa then hatimae amekua trending of the day ktka mitandao ya kijamii
#dentex13
 
Kudos
 
Write your reply...
kanye ndo alivyo ye huwa kauzu siku zote hachekicheki hovyo,ye anakula buyu tu muda wote..
 
sio wafupi mkuu,ila wamepiga picha na mtu mrefu..!!

ila huo msumari wa katikati nimeuelewa aisee
Mkuu wana kimo cha wastan sana ... na hapo kim ndio kavaa kiatu kirefu ..

mstari upi huo chief !!!?
 
Huyo kichaa hata akiwa Marekani anavaa hivyo hivyo tena wakai mwingine anakuwa anavaa hata na gauni. Huyu dogo akimbizwe tu Milembe, uchizi unamuanza.
wee mbona umekazana ni kichaa?? Unajua kama na ww una kichaa ambacho huwezi jua kama kinaweza kulipuka any time??
 
Back
Top Bottom