Simuoni Ronaldo akirudi kuichezea timu ya taifa ya Ureno kwa amani.
Hata wale team mates naona hawana mpango nae vile tu hawasemi.
Kitendo cha Ronaldo kutocheza mechi tatu kisha wenzake wakashijda mechi zote ni salamu tosha kwake, kwa sasa hahitajiki tena.
Kwani kweka kabla hajaenda kuua alikaa kikao na familia yake wakakubaliana akaue?
Haiwezekani maamuzi ya mtu mmoja yakatengeneze uhasama kati ya hizo koo mbili.
Wanalea sumu itakayokuja kurithisha vizazi bila sababu na itakuwa ngumu kuiondoa ikishasambaa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.