Recent content by Dennis Mtegwa

  1. D

    Katiba Mpya: Kakobe aungana na Wapinzani Jangwani

    Tatizo la kizazi chetu tunakuwa wavivu kufanya utafiti, hakuna cha Kakobe kutapeli wala waumini kumkataa, nani atapeli katika nchi hii kwasasa asifunguliwe mashitaka na kufungwa, au ni nani aliyetapeliwa ajitokeze na aseme. Kakobe Ni mtanzania mzalendo ambaye hana unafiki linalomhusu...
  2. D

    Shibuda: CCM ni chama cha maskini na wanyonge

    tutaenda naye hivyohivyo tu kama gari bovu tukiona hawezi kutuathiri tutafika naye 2015 ila asahau ubunge kupitia CHADEMA labda safari hii aende NCCR au arudi kwaoCCM. CHADEMA sio size yake, tulifanya makosa kumkaribisha ila hatuna jinsi hebu twende naye hivyo hivyo kiubishi, ubishi. Tutafika!!
  3. D

    Waliofeli kidato cha nne waula, ufaulu sasa waongezeka

    nani ataiamini Tanzania kama inafanya hv katika elimu tumeshuhudia upasuaji wa kichwa badala ya mguu kisa eti majina yalifanana, maghorofa yanayojengwa na "waandisi mahiri" nayo yanaporomoka. sasa sijui hawa watafanya kituko gani?
  4. D

    Mwigulu Nchemba awaombe radhi viongozi wa dini Singida

    Alianza Geleja kwa mamlaka yake akiwa waziri wa nishati leo hatujui yuko wapi? Mwigulu naye namsikitikia maana tutabaki kumsikia. kisasi huwa ni cha MUNGU
  5. D

    Tanzania one ametoka shule gani

    haipo mwaka huu, na mh. Waziri amesema imekuwa ngumu mwaka huu kupanga wanafunzi 10 bora eti kwa kuwa wanafunzi wamekaribiana sana, hata hyo list ya best 10 students haijatolewa ni watu ndo wanajitahidi kutafuta kujua kulingana na matokeo yenyewe
  6. D

    Clouds FM (Power Breakfast): Ni sahihi kabisa Bunge lisionyeshwe LIVE!

    Ifike hatua tasnia hii ya habari iangaliwe upya make ni kama imeingiliwa na mamluki. mtu analala na anakurupuka tu bila kufikiri kwa kina juu ya kile anachokwenda kukiungumza kwa watu, Hivi kama bunge linaonyweshwa "LIVE" tunaona madudu haya, likiachwa kuonyeshwa itakuaje; kimsingi huyu...
  7. D

    Top 100 hundread universities in Africa http://www.4icu.org/topAfrica/

    Tanzania imetoa nafasi mbili kwa mwaka huu, UDSM nafasi ya 6 na Hubert Kairuki ya 98. South Africa bado ipo kileleni kwa kutoa vyuo 6 kati ya 10 za kwanza. http://www.4icu.org/topAfrica/
Back
Top Bottom