Recent content by Denjo

  1. Denjo

    Nimempambania kapata kazi, salary ni 1.5m gross kaikataa kisa kapangiwa kwenda mkoani Mbeya

    Kama hio nafasi bado Ipo naomba Mimi nitokea nilipo niende uko
  2. Denjo

    TISS tangazeni nafasi kama US Secrete Services

    Tz kitu kinaenda by connection na ngojea nikupe namba yake mfuatilie mwenendo wake[emoji23][emoji23] ukijichanganya tu umekosa credit
  3. Denjo

    Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Highest level of Education: Bachelor Degree Profession: Accounting and Finance Experience: 6 years Industries worked: Transportation and Financial institutions Current location: Kilimanjaro Ready to be allocated anywhere
  4. Denjo

    Nimeamua Kumshtaki Mahakamani Mke Wangu Siku 5 Baada ya Harusi

    Wale wa ntatoa bikra yangu ukinioaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeoaaa unakutanaaa na MTO Ruaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  5. Denjo

    Wanawake wenye mali acheni kuwageuza wanaume zenu sex-toy

    Dah mjini vijana mlisema mtaji kiuno mnalalamika Nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  6. Denjo

    Kwa wakazi wa Same tu

    We mkubwa umeelewa kuwa mzalendo[emoji23]
  7. Denjo

    Wanawake wenye mali acheni kuwageuza wanaume zenu sex-toy

    Hao wanawake wenye Hela wako wapi jmn mbn kila mi nao wapata mi ndio wananiona tajiri[emoji17][emoji17] kuna namna ya kuwapa wapi hao
  8. Denjo

    Kwa wakazi wa Same tu

    Kwa mnaoishi Wilaya ya Same mjini maeneo Gani ya kujidai nna ziara ya week 2 hapo nipate ata mwenyeji wakunifariji wa kike tupeane connection.
  9. Denjo

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Wasee wakuwasha lokitoo unatuvuaa nguo hadharani Siri za Kazi unazileta huku mjumbe[emoji23][emoji23][emoji23]
  10. Denjo

    NMB amptitude test

    Mwisho wa mwezi huu wanaanza kula mishahara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  11. Denjo

    Ajira za TAKUKURU walitoa majibu?

    Waliokula mchongo waliiitwa kupitia email address baada ya oral interview wenyewe wanakarbia Kumaliza training
  12. Denjo

    UTT AMIS naona kwenye account yangu ya UTT hela imeongezeka kidogo

    Bei ya vipande Ina raise almost kila mwez rate apo umekula 8%to 1.2 % assume pesa yako inakua kwa 1 % each month
  13. Denjo

    Nahitaji kanisa lenye miujiza

    KAribu Freemasons Hall[emoji88]
Back
Top Bottom