Ndugu Msanii,Ujumbe wako tumeupata,lakini Mm niyaendika mpaka sasa nipo jimboni Muleba.Hata M.Tibaijuka ametoka huku,ni wiki moja imepita tu.Swala la Afya linajulikana na hivi majuzi,Mh.Tibaijuka amekamilisha mpango wa kuanzisha Bohari kuu ya kusambaza dawa kwa Mikoa ya Geita,na Kagera,ambyo...