Recent content by Denioh

  1. Denioh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mafuta gani ni mazuri kwaajili ya Body Massage kwa wapenzi?

    Sikia humu unawez ukakosa msaada cha msingi nenda kwa wadada wa saloon wale mnunulie soda alaf muulize atakupa full details
  2. Denioh

    JamiiForums Tanzania Nimeanza kuamini ulegelege wetu Waafrika kama Bara katika maendeleo unatokana na wastani wa IQ ya umma (population) kuwa chini Sana

    uthibitisho umetokea wiki iliyopita tuu nchi jengo limedondoka k/koo jeshi halina facilities za uwokozi watu wamepotez maisha na wengine kupata hasala alaf inatoka million 700 kwa kuwapongez wachezaj wamefuz 🙄
  3. Denioh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wazazi wengi hawapendi tuoe single maza?

    Mwisho yale maneno yalimfikia yule single mother kwaiy yeye ndio akayakataa yale mausiano licha ya kutumia nguvu kubwa kumueka saw ila aikua lizik kwa jmaa
  4. Denioh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wazazi wengi hawapendi tuoe single maza?

    Baba aikua analakusem ila akiw n mkew anamsupport mke ila akiwa n kijan anasema tatiz mama yako sio mwelew mwanangu
  5. Denioh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wazazi wengi hawapendi tuoe single maza?

    Jamaa yangu alienda kumtambulisha mchumba wake kwao ambae ni single mother , mama mzazi wa mshikaj akaja juu na kukataa hayo mausiano huku baba yake akiwa kimya , kisha jamaa akamuuliz mama yake mbona wewe baba alikuoa wewe ukiwa na mtoto je kulikua na shida yoyote ile Aiseee mama alanza...
  6. Denioh

    JamiiForums Tanzania Kabla hujatukana, kudhalilisha au kushuku wanawake, huwa unajua kuwa na mama yako ni mwanamke?

    hawa ndio wanakuja na hoja za kipuuzi mzazi hakosei MZAZI ndio nan kwan kam amezaliw n mwanadam anakosea na mzazi anawekwa chini anachanwa kwa mungu akuna laan za kipumbavu
  7. Denioh

    JamiiForums Tanzania Kabla hujatukana, kudhalilisha au kushuku wanawake, huwa unajua kuwa na mama yako ni mwanamke?

    Mama zangu ,bibi zangu ,mashangazi zangu na dada zangu wanaongelewa ivyo ivyo n watu wengn kweny ukwel tuusema ata vitabu vya dini vimeainisha ivyo ni viumbe dhaifu tena tuishi navyo kwa akili na kutawaliwa Wanawake wa kuzaz kipya wana changamoto za kufa mtu kibaya zaid zile njia za asili za...
  8. Denioh

    JamiiForums Tanzania Jamiiforums GYM (mazoezi ) thread

  9. Denioh

    JamiiForums Tanzania Nina mpango wa kuweka Electric shock mlangoni

    Kama wewe utaweka ivyoo tutaanza kuja na taster ili kupima ili tufany kazi zetu kiuhadilifu ila kingine uwa tunafany mambo yetu pindi umeme unapokatik maan giza kwetu ni fulsa
  10. Denioh

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje sex hainisisimui kama zamani

    Inabidi ufanye reprogramming ya hisia then u back into *** business
  11. Denioh

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayoendelea Bar ya Savoy, sio tamaduni zetu

    Inchi inajipiga kifua kuwa wananch wameelimika kwa kutumia kinga kumbe idadi ya madangulo yameongezeka
  12. Denioh

    JamiiForums Tanzania Mboga nisizopenda katika maisha yangu

    Kisamvu nilikua sijipenda kumbe mpishi nikakutana kisamvu kimewekwa utumbo na nazi Kwaiyo hizo mboga muda mwingin upishi wa mtu
  13. Denioh

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu Shabiki Mchome mapovu ni Shabiki kweli wa Simba SC au ni mwana Yanga SC aliyenunuliwa Jezi ya Simba SC ili atudhalilishe?

    Ni mkazi wa mbezi kwa msuguri mtaa wa singida ila anafanyia shughuri zake mataa wa masaki za uwakala wa fedha mitandaoni Kwanza huyu jamaa ni muhaa alaf ajakula ata x-mas 5 mjini hapa kwaiy bado anakaushamba flan ambacho kimekuwa powered na online tv kwa kumuaminisha akifany inyoo atakua...
  14. Denioh

    JamiiForums Tanzania Watumishi makanisa ya kiroho muwe mnaenda na mahospiltali kufanya miujiza msitufanye wajinga

    Nimeshuhudia wagonjwa wa ukimwi na wakisukar wakipoteza uhai kwa kuaminishwa wameponywa hivyo waacha dose zao za magonjwa kitu kinachopelekea umauti kwao
Back
Top Bottom