Sio vyema kubeza elimu yetu hata kidogo kwa tabia za wasomi wachache, Tukianza kuangalia tangu nchi hii imepata Uhuru maendeleo yote yamesimamiwa na nao wasomi wetu mfano.
Elimu
Afya
Miundo mbinu
Majeshi
Kilimo
Mawasiliano
Maji
Umeme
Nk.Tulipotoka na tulipo kwa juhudi za wasomi leo hii...
Kuna plate namba nyingine
JU - JESHI USU Jeshi la uhifadhi misitu na wanyamapori kama ifuatavyo
01 JU alafu namba - Kamishina uhifadhi Ngorongoro
02 JU alafu namba - Kamishina uhifadhi Tanapa
03 JU alafu namba - Kamishina uhifadhi Tawa
04 JU alafu namba Kamishina uhifadhi TFS
Well said kaka, Enzi za Mwalimu tekinolojia ilikuwa sio kubwa sana hata ukihitaji video utachukua na nini??, all in all yanayofanyika huko jeshini mtaani pia watu wanafanya kwa kuangalia majeshi ya wenzetu.
Hakuna kipya
Ni jambo lisilopingika wasukuma ni wengi kanda ya ziwa na ndio kabila lenye watu wengi. Uchaguzi 2015 kanda ya ziwa ilikuwa timu Lowasa hadi dakika za majeruhi uliingizwa ukabila sijawahi kuona unaingiza mmasai ikulu ili hali mnajua ndio wezi wa mifugo yetu mnafikili akipita hali itakuaje sumu...
Sio gari tu hata mademu
1. Awe anapatikana muda wote
2. Asiwe na tumbo kubwa
3.Awe na kalio
4. Awe na sura nzuri
5. Awe hapendi kuombaomba hela(fuel consumption)
6. Awe mcha MUNGU
7. Awe amesoma
8. Awe anajua kupika
9................
10............
But all in all mipango sio matumizi hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.