Mbeya: kilyamatundu

Ronzobe B29

JF-Expert Member
Jul 8, 2017
242
89
Natuain nyoye jamii ya forum mnaendela vyema...Mimi mdogo wenu kesho nakuja mbeya bonde la kilyamatundu natokea Shinyanga. Ila sina ndugu wala mwenyeji wa kufikia hivyo naomba yeyote atakayeguswa kunipatia hifadhi ya siku mbili nikiwa natafuta chumba na kunipa abc za mji huo...Lengo ni kuzamia huko na nina kamtaji kadog sana tulaki hivi. naamin jamii forum ni familia kubwa sana na mungu atakubariki/wabariki

#mungu ndio kionggozi, mlinzi na mpaji wetu
 
Maisha ni kutafuta..Mungu akuongoze.

Watakuja kukupa msaada..ila hata ysipopata humu nenda ukifika tafuta kwa mwenyekiti wa kijiji ongea naye atakupa msaada.

Sebha agotongele.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natuain nyoye jamii ya forum mnaendela vyema...Mimi mdogo wenu kesho nakuja mbeya bonde la kilyamatundu natokea Shinyanga. Ila sina ndugu wala mwenyeji wa kufikia hivyo naomba yeyote atakayeguswa kunipatia hifadhi ya siku mbili nikiwa natafuta chumba na kunipa abc za mji huo...Lengo ni kuzamia huko na nina kamtaji kadog sana tulaki hivi. naamin jamii forum ni familia kubwa sana na mungu atakubariki/wabariki

#mungu ndio kionggozi, mlinzi na mpaji wetu
Mbeya - kilyamatundu mbona Kama ushapotea maana najua kilyamatundu - Ni mkoa wa Rukwa wilaya ya Sumbawanga au majina yanafanana
 
Natuain nyoye jamii ya forum mnaendela vyema...Mimi mdogo wenu kesho nakuja mbeya bonde la kilyamatundu natokea Shinyanga. Ila sina ndugu wala mwenyeji wa kufikia hivyo naomba yeyote atakayeguswa kunipatia hifadhi ya siku mbili nikiwa natafuta chumba na kunipa abc za mji huo...Lengo ni kuzamia huko na nina kamtaji kadog sana tulaki hivi. naamin jamii forum ni familia kubwa sana na mungu atakubariki/wabariki

#mungu ndio kionggozi, mlinzi na mpaji wetu
kuna fursa gani uko
 
Karibu sana tule parachichi na ndizi za Tukuyu .
 
Natuain nyoye jamii ya forum mnaendela vyema...Mimi mdogo wenu kesho nakuja mbeya bonde la kilyamatundu natokea Shinyanga. Ila sina ndugu wala mwenyeji wa kufikia hivyo naomba yeyote atakayeguswa kunipatia hifadhi ya siku mbili nikiwa natafuta chumba na kunipa abc za mji huo...Lengo ni kuzamia huko na nina kamtaji kadog sana tulaki hivi. naamin jamii forum ni familia kubwa sana na mungu atakubariki/wabariki

#mungu ndio kionggozi, mlinzi na mpaji wetu
Fursa ni nyingi kikubwa bidii na kujituma ila mzunguko wa bado uko chini kiasi chake , mavuno ya mpunga kwa sasa , mavuno ya kahawa kwa sasa ,ila kuuza vipodozi ila vilivyo ruhusiwa maana wana mbeya hususan wamama ni watu wa kujilemba .
 
Mkuu
Kilyamatundu ipo mkoa wa Rukwa
Na sio Mbeya

Tuliza kichwa ushaanza kupotea kabla hujapanda gari
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom