Recent content by deng ngol

  1. D

    Barua kwa Mhe. Zitto kutoka Mtwara

    Niko pamoja nawe hao roho na wivu wa kijinga unawasumbua.donge la nn bwana kama watu wanamkubali Zito muawache.pokea barua Mh rais mtarajiwa then fanyia kazi kama wananchi wa mtwara walivyokuamini
  2. D

    JK Kawageuka Museveni,Kagame?

    acha woga. waache waende izo gharama zote zitalipwa na UN .jk sio mjinga kupeleka wanajeshi wake kongo kwa gharama za nchi. mfano Tulivyoenda Comoro mapesa tuliyolipwa mungu ndio anajua.tatizo mafisadi wengi. mfano mwingine wanajeshi wa kenya walipoingia somalia sasa UN inawalipa gharama zote...
  3. D

    JK awapandisha vyeo majenerali

    Kaka Phillemon Mikael, kwa sasa mahitajio yameongezeka kaka jeshi limepanuka na kuwa la kisasa hawa wote wanahitajika ktk majukumu ya kitaifa ndio maana wamepanda ata katiba mpya ikiwekwa na kuamuliwe kuwa na LT GEN WATANO lakini wigo wa kazi na mahitajio ya rank watu wasipewe kisa katiba...
  4. D

    JK awapandisha vyeo majenerali

    naona Goma
  5. D

    JK awapandisha vyeo majenerali

    kaka huyo uliyemtaja hapo juu nasikia anakwenda kuongoza majeshi uko Lebanon au kongo na huyn mwingine atabaki uko darfu.mpeni sifa raisi wetu
  6. D

    JK awapandisha vyeo majenerali

    Phillemon Mikael kaka mahitajio yameongezeka usilalame tu.sasa kama tumepata nafasi kufanya kazi nje ya nchi na wanahitaji watu ma rank hizo tusiende kisa tuna Lt gen mmoja.
  7. D

    JK awapandisha vyeo majenerali

    akili zako ndio zinakutuma ivyo kwa taarifa yako hadi wamerekani,wachina wapo pale wanapiga buku. so kama ingekuwa kama shule za kata wasingeleta watu wao tena nchi inalipwa madola
  8. D

    JK awapandisha vyeo majenerali

    Tena Watanzania. watambue jeshi letu linafanya kazi nzuri ktk medani za kimataifa ndio maana tumepata nafasi huko nje na zinahitaji watu ma rank hiyo rais aliyowatunuku hao makamanda. Muache mazoea ya kumsema rais.pia mwanzo hatukuwa na chuo cha NDC sasa tunacho ambacho kitapunguza gharama za...
  9. D

    JK awapandisha vyeo majenerali

    muacheni rais afanye kazi yake
  10. D

    JK awapandisha vyeo majenerali

    wewe usiwe mjinga kuzungumza vitu usivyovijua. makakala anastaafu mwakani na cheo alichopata ataendelea kuwa mkuu wa NDC .chuo kinahitaji kuongozwa .a. mtu wa cheo alichopewa.pia kisamba ni anaongoza majeshi ya kulinda amani kutoka nchi mbali mbali huko Darfuu-sudan...
Back
Top Bottom