Wasabato wanaamin kua sis8 ni wapigaji na wasafiri hapa ulimwenguni uraia wetu ni mbinguni hivyo hatuna makao ya kudumu hapa duniani haya makanisa ni ya muda tu ila tutakutana kanisa la mbinguni
Likizo ni muhimu ila kama mtoto unaona bado hafanyi vizuri ni afadhali abaki shule kufanya masomo ya ziada kuliko kubaki nyumbani kucheza gemu,kuangalia tv mizengwe na tamthiliya zisizo na maadili.
Mtoto amepata C au D halafu mzazi unataka apumzike akija kufeli utalaumu walimu au utjilaumu...
Ni afadhali mtoto aende shule akapate hata kadose kama multiplication table kuliko kukaa nyumbani na house girl kuangalia TV channel zisizo na maadili na kushinda na smart phone asubuhi hadi jioni.
Ni bora akatulie shuleni au library kujisomea vitabu kuliko kubaki nyumbani kucheza michezo isiyo...
Ni mbunge pekee aliebakia CCM mwenye hoja kinzani zenye mashiko .Yuko vizuri sana na msimamo wake thabiti na anatoa hoja zenye mashiko hatakwa rafiki yake Bashe japo walikuwa chuo kimoja mzumbe lkn wanqbishana kwa facts
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.