Heshima kwenu wadau wa jf.Kwa kweli ukiacha huu mviringo yaani hii dunia kuumbwa na mola;Pia kwa kweli alitujalia viungo mbalimbali vya mwili,kama vile vidole,macho,masikio,nk.Sasa bwana kuna vijiungo viwili hivi vinatesa sana jinsia hizi mbili za ke na me!;bwanabwana!,vinasuguana vyenyewe tu...