Demokrasia.Ag11
Member
- Aug 11, 2013
- 5
- 4
Heshima kwenu wadau wa jf.Kwa kweli ukiacha huu mviringo yaani hii dunia kuumbwa na mola;Pia kwa kweli alitujalia viungo mbalimbali vya mwili,kama vile vidole,macho,masikio,nk.Sasa bwana kuna vijiungo viwili hivi vinatesa sana jinsia hizi mbili za ke na me!;bwanabwana!,vinasuguana vyenyewe tu lakini!;vinafunga watu maisha,vinasababisha mauaji,vinafanya watu hawalali,vinatuletea mali,na maradhi pia!.Eti wadau ni kweli ni sukari ya mungu!.Nimesikia watu wakibishania hilo maeneo ya stendi niliyoshukia nikielekea kwenye shughuli zangu.Kwenu wakuu!.