Recent content by delusions

  1. delusions

    JamiiForums Tanzania Tuendako kuna giza: Majaliwa anadai kupata kura kiduchu sababu ni watumishi wa umma kutokitetea CCM kama mwajiri wao

    HAIWEZEKANI ULIPWE MSHAHARA USIMPIGIE KULA MWAJIRI WAKO SASA ATAKULIPAJE NA HUJAMPA KULA
  2. delusions

    JamiiForums Tanzania Umeanza kutumia mtandao lini? Wale wa kale tukutane hapa

    line ya voda ikiwa 32,000/= unapata na manual bonge la kitabu kwny pack ukasome namna ya kutumia line BUZZ(sasa Tigo) line 22,500 iko ndANI YA kasha la cd na kakitabu flani kadogo manual ya jinsi ya kutumia line bila kusahau wazee wa tritel walioibuka na mabei yao makubwaaa vilaza sana watu hadi...
  3. delusions

    JamiiForums Tanzania UTAWEZAJE KUTOFAUTISHA KUROILER NA KUKU WA KIENYEJI

    ni wanafanana sana na kienyeji ila wao ni high breed wanakuwa na maumbile makubwa na hawana rangi za tofauti sana wekundu flani hivi mix na white na black siyo rangi ya kanga
  4. delusions

    JamiiForums Tanzania Gazeti la The Economist la nchini Uingereza, lamchafua Rais Magufuli

    gazeti la udaku
  5. delusions

    JamiiForums Tanzania Vifaa na Ukakamavu wa vyombo vyetu vya Usalama, umedhihirika kwenye ajali ya MV. Nyerere

    acha utani na jeshi lililomtoa baru cbe gpe field marshal concuerer of british empire iddi amin dada
  6. delusions

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Rais Magufuli ana shida gani na misiba mikubwa?

    4. Mara wakauawa wanajeshi wetu wa kikosi cha kulinda amani nchi DR Congo mwezi December 2017. Rais wetu na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama hakuonekana Uwanja wa Taifa kwenye mazishi ya wanajeshi wetu. Aliyekwenda kwa niaba ya Serikali ni Waziri Mkuu Majaliwa. Wewe jamaa ni...
  7. delusions

    JamiiForums Tanzania Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

    ni hadit ni hadithi nzuri hii wakiipata bongo muvi wakaifanyia haki
  8. delusions

    JamiiForums Tanzania Sky News wako busy kutuelezea ya ajali ya Kivuko, TBC wako busy na mambo ya waganga wa jadi!

    ovyo kabisa sasa inasaidia nini ushamba tu
  9. delusions

    JamiiForums Tanzania Wapiga ‘ mikwara ‘ na ‘ wababe ‘ kama hawa ‘ tuliwamisi ‘ sana nchini Tanzania

    yule mzee aliyeanguka na ungo juzi mission failed miserably
  10. delusions

    JamiiForums Tanzania Tatizo la mafua lisiloisha

    maswali yote hayo atayajibu daktari hospitalini tu humu hakuna
  11. delusions

    JamiiForums Tanzania GE2020 Jambo wanalopaswa kufahamu CHADEMA, ni kwamba muda wa kufanya siasa za kistaarabu umekwisha

    chama kinaenda kupasuka vipande vipande kuna bomu linakuja
  12. delusions

    JamiiForums Tanzania Ujerumani yapapaswa na juhudi za Rais Magufuli; yawa ya kwanza kufungua ofisi Dodoma

    c chadomo wanaendelea kufanya matambiko
  13. delusions

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli Rais Magufuli aliishi Canada kipindi akiwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi? Iliwezekanaje?

    Sitaki kuingia deep sana kwenye swala hili sababu timu kama arsenal na chelsea hazipo kwenye mashindano ya UEFA lakini pia barabara kuu ya songea masasi ambayo ni kivutio cha maji inapaswa kujengewa uzio na maeneo yote ya mabondeni na kwenye misitumikubwa swala la kuku na tairi za gutatuwaachie...
Back
Top Bottom