Recent content by Delightie

  1. Delightie

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Ni kweli kabisa ndoto zina maana kubwa sio zote lakini zile za Mungu Kwa upande wangu ni shahidi na Mungu kupitia hili nimejifunza na amenionyesha makubwa na kunifungua pia kiroho Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
  2. Delightie

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Good,nafsi moja inaposimama na kuamua jambo Mungu hutii na kusikiliza na kusaidia,lakini pia walio tofauti na wewe hunyenyuka na vita yake sio ya kitoto,Mungu akusaidie
  3. Delightie

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Ukiwa vizuri na Mungu hukufunulia mambo mengi Kwa njia tofauti taofauti kama maono,ndoto,ishara n.k hata watu wabaya hata wakiwa wa karibu yako utawajua tu kikubwa kusimama imara,na katika ukoo Kuna mambo mengi sana sio wote watakuwa safi wengine walishaingia mikataba na mizimu zamani sana,Kwa...
  4. Delightie

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Iko hivi shetani anajua Kila kitu kuhusu biblia,anajua kuomba sana maana kabla hajamuasi Mungu alikuwa karibu naye Kwa hiyo Kila kitu anakifahamu nje ndani,unaposali maanisha usiwe na ule wasiwasi hata lijitu lije Kwa namna gani ukiomba na kukemea Kwa imani na ukitumia damu ya Yesu au moto ulao...
  5. Delightie

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Na zinanyanyuka kwelikweli ukiwa mwepesi unaweza ukanyoosha mikono,lakini iko hivi,unapoamua kufanya kitu unafanya kwa imani na kwa kujitoa kote hata kama ni hatari kiasi gani,katika ulimwengu wa giza kuna connection kubwa sana ambapo waweza shangaa wachawi kiuhalisia hawajawahi kuonana lakini...
  6. Delightie

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Mizimu ni dhana ya kiroho inayopatikana katika Mila na baadhi ya jamii fulani,ambayo inahusu roho za watu waliofariki ambazo bado huweza kuwasiliana na ulimwengu wa walio hai.Musa na Eliya ndo watu waliomtokea Yesu alipokuwa mlimani lakini wao hawakua mizimu bali walikuwepo kama...
  7. Delightie

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Ntakujibu kulingana na uwezo wangu nielewavyo,mizimu sio sehemu ya Mungu,hivyo basi ndio maana hata tunaposali tunatakiwa kujivua,kujiondoa,kujitoa na roho za mizimu,kwani hamna mizimu iliyo na upande chanya %kubwa zina pande hasi,ukristo na mizimu ni vitu viwili tofauti.
  8. Delightie

    Wengine huwa hatupashi viporo

    Sio Kila mahusiano watu wanaachana Kwa kukosana.
  9. Delightie

    Wengine huwa hatupashi viporo

    Hamna mwanaume malaya
  10. Delightie

    Wengine huwa hatupashi viporo

    Hujawahi kutana na kipro max aisee,Ile hata ukikaa unasema kweli pale roho,nafsi,mwili vyote vilikuwa vinasalute,hata muachane aiseee miaka hata mitano ipite utapasha tu[emoji23]hakuna mkate mgumu mbele ya chai.
  11. Delightie

    Wengine huwa hatupashi viporo

    Hahahaaaa Kuna dharura eeeh[emoji3]
  12. Delightie

    Mapenzi yananitesa sana

    PESA!PESA!PESA.
  13. Delightie

    Wengine huwa hatupashi viporo

    Inawezekana elimu ya mahusiano kwako Iko mbali au tofauti,kuachana sio uadui.
Back
Top Bottom