Unashangaa mbowe kuwasahau wahasisi wa ukawa, haushangai Nyerere kuwasahau wahasisi wa Muungano? (Aboud Jumbe)......Nawee ni mtengeneza pesa pia na ndio maana unafikiria kuanzishwa kwa ujasiriasiasa
Sent from my itel it1407 using JamiiForums mobile app
Jamani hii miemuko ya ugeni wa siasa ndio inatukurupua na kutema mapovu dizain ya sabuni ya omo mitandaoni, ebu tutulize fikra zetu kabla hatujajishusha kiweledi kwa jamii kupitia mitandao......Sakata la Richmond kupitia tume ya Mwakyembe ilimtaka lowassa kujiudhuru kwa uwajibikaji wa cheo...
Inatia huruma kweli, kila Siku Hawa watu wanajaribu kuutafuta ukimya wa lowassa kwenye matokeo ya uchaguzi, duuuh so ni government against lowassa na sio government against citizen's problems
Hapa kazi tuuu, haijaliwi wapigao kazi ni mburula kiasi gani.....nazani kabla ya kuwaajiri walimu kwanza wapimwe kisaikolojia na uathirika wa dawa za kulevya maana matendo haya yakinyama sana sio bure
Huu ni uzaifu mkubwa wa wanaccm wanaojiita wazalendo, sisi waTz wazalendo halisi hatuitaji kulisikia kabisaaa jina la lowassa Bali tunaitaji tuone mafisadi wa escrow, lugumi, Richmond n.k wakipotezwa, sasa ninyi kila kukicha mnajihami kwa jina la huyu baba utazani yupo peke yake, mpelekeni...
Tatizo ni mfumo tuu haikwepeki, maana anachofanya kukimbizana na wauza chips Hata mgambo alikuwa anatekeleza hilo, tutasema tatizo ni MTU endapo rais ataipitisha rasimu ya walioba na kuwateketeza mafisadi wakiongozwa na mkuu wetu mstaafu waliotufikisha hapa.........HAPO NDIPO TUTAONA TOFAUTI
Ukiikagua rufaa ya babuseya iliyotolewa mahakama ya rufaa kisutu, tunafikia muafaka kuwa Uhuru wa mahakama Tz ni wamaandishi tu na sio vitendo, kila nikiperuzi nakala za hiyo hukumu naiona nguvu ya executive juu ya judiciary
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.